Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
TUNAUZA NAZI KWA BEI YA JUMLA NAZI KUTOKA KUSINI (LINDI & MTWARA) NAZI BORA ZILIZOKOMAA VIZURI TUNAPOKEA ODA KUANZIA NAZI 250 UKIAGIZA NAZI KUANZIA 1000 TUNAKUSAIDIA KULIPA USHURU. NB: TANGAZO...
3 Reactions
14 Replies
9K Views
HABARI WAKUU, Naitwa Enock ni fundi wa kutengeneza sofa, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania. Sofa kama hii ya kukaa watu wawili bei ni 280,000/= Kwa mahitaji ya sofa kama hii na aina...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Nimeamua kuwasaidia wakulima wadogo wadogo. Nimetafuta kampuni inayotengeneza incubator ambazo ni full automatic na bei zake ni nzuri huwezi linganisha na ubora wake. Kuanzia mayai 264 mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati tunaelekea Msimu wa Christmas na Mwaka Mpya basi Sikia hii JUZA FASHION ni Kampuni ya Uuzaji, Utangazaji na Usambazaji wa Nguo Africa Mashariki na Kati, Hivyo basi Kupitia kwenye Website...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Natumai mko salama kabisa Kichwa hapo juu kinajieleza kabisa Ukiwa huna Tcl una Lg au Samsung sawa ila iwe nchi 55 kipaumbele zaidi ni TCL tuma picha tuma sms au piga simu kwa 0759117175 Offer...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Kama kichwa kinavojieleza kwa wale mafundi, mbao au ujenzi. Kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia hiyo epoxy itakuwa vizuri, nahitaji kidogo Sana kama nusu lita. Kuna project nataka kufanya...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
ni hp probook 6360b core i5 , 4gb ram . 300 hard disk ,processor 2.5 ghz inapga kazi vizur sana - battery halikai na chaji -pia left na right click button za kwenye touchpad hazifanyi kazi ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES ALSO UNLOCKING PHONES BY IMEI UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY...
6 Reactions
398 Replies
54K Views
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo: -Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT" -Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card. -Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Inauzwa Galaxy e7 nzima Ram 3gb storage 16gb battery 2900mAh duos Very light Haina tatizo lolote. Bei 230000/- Contact 0754995752 Located in Mwanza
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Nahitaji kitanda cha 4*6 kilichokuw na hali mzuri ila kama kitapatikana cha chuma kitakuwa bora zaidi
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Nauza cherehani iliyo na uwezo wa kudarizi, kushona maturubai INA aina 18 za ushonaji. Inatumia umeme.Naiuza kwa Tshs 400,000/= maelewano yapi
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hbr wananzengo,nimealikwa ktk harusi ya swahiba wangu inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao ila vazi siku hiyo ni western suit.naomba mnijuze ni wapi nitapata western suit ya kukodi na itagharimu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Helloo nahitajii hii kitu kama kuna MTU anayoo njoo pm tuchongee, Nb. Njoo na bei ya kitanzania ilitufanyee biashara
0 Reactions
1 Replies
514 Views
Wadau natafuta gari Aina ya PROBOX iwe na Ubora tu siangalii namba bajeti yangu 5,5MILLION mwenye nayo karibu.....
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye kujua bei ya tiles kwa Mwz naomba unisaidie kwa box size 60*60,size 50*50,size 40*40,size 30*45,na size 20*30. Asante
0 Reactions
10 Replies
13K Views
habar wana jamvi najitokeza kutafuta instagram account ya kununua yenye kuanzia followers 50,000 elfu hamsini mahususi kwa ajili ya kuanzishia biashara, yoyote mwenye nayo au kumfamhamu mtu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajasiriamali...nawasalimu. Natafta biashara/mradi unaouzwa. Ninamaanisha biashara au mradi unaoendelea ila unauzwa kwa sababu yoyote isipokuwa za msuguano wa kikodi na serikali. Biashara au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
2021
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Wakuu Kama kuna mtu anajua bei ya korosho za kuhokwa na soko lake kwa dsm likoje pia kama kuna mnunuzi hapa dsm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom