Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini Wakuu, Natumaini Mu Wazima. Naomba Msaada Wa Kuelekezwa Duka Au Mahali Ambapo naweza Kununua Roller Skate Shoes Mpya Zikiwa Full Pamoja Gloves Zake Na Vizuio Vya Ugoko. Mie ni mpenzi...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
NInauza printa USED , Bei 400,000TZS badala ya 900,000. iko kwenye hali nzuri, Wino umeisha,unaweza kurefill. 4 color printer. USB, Network 250 Sheet Input Tray PCL 6, PCL 5c, Postscript 3...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Hali ngumu wakuu kimfaacho mtu chake Nauza laptop HP kwa bei ya Tsh 380000 tu fixed price Inakaa na charge hadi masaa 6 ikichajiwa Haina tatizo lolote la kiufundi na haijawahi funguliwa HDD 500...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mda huu ndungu zangu. Huu ni uzi maalum kwa wanaohitaji kununua magari kutoka Japan na ushauri wa kuwapa wanatoka kununua magari kutoka Japan. Je unaangalia kitu gani kununua gari kutoka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
TOYOTA WISH Year 2003 Engine size cc 1790 Drive 2wd Seat 7 ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI : 11.2MIL {unaweza kufanya malipo awamu mbili} MALIPO YA AWALI : 5.2MIL...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Kwa mwenye uzoefu na maduka ya simu nirobi, ni mitaa gani ambayo unaweza pata option kubwa ya kununua smartphone whather uses au beand new kwa nirob, Lakin pia bei standard ya hotel ni around sh...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwa wale ndugu zangu mliopo Zanzibar mnaopenda kitimoto na hamjui pa kukipata sasa suluhisho limefika. U&I pork company tunafanya door to door delivery kitimoto popote pale ulipo...
12 Reactions
20 Replies
5K Views
Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Nyumba IPO kigamboni kibada block 15 (708 sqm) 3-rooms (2 master & 1 single),dinning room,jiko,store,fence,parking,kisima,umeme.pia uwanja umebaki unaweza jenga nyumba nyingine.Kama ilivyo inauzwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau nataka nianze ujasiriamali wa kutengeza sabuni Ninahitaji material haya;- Makontena kama hayo ya kutengezea sabuni Pili nahitaji "soap making transparency" hii ndo ya kuigandisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Desktop tatu inaitajika, yenye flat monitor. Upo wapi? Nipe bei yako.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau nauza gari aina ya vitz na inapatikana KIVULE - UKONGA - DAR ES SALAAM 1. Year 2001 2. CC 1290 3. 123,000 kilometers 4. Model No. TA-NCP1O Kwa mwenye kuhitaji tafadhali ani pm
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari, nadhani humu ndani nipo mahari sahihi kwa wataalamu wa mambo ya technilogia, natafuta mtu mwenye camcorder video camera yenye mega pixel 24 au zaidi, tufanye biashara, kama unayo...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Hali ngumu wakuu kimfaacho mtu chake Nauza laptop HP kwa bei ya Tsh 380000 tu fixed price Inakaa na charge hadi masaa 6 ikichajiwa Haina tatizo lolote la kiufundi na haijawahi funguliwa HDD 500...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji earphone za kampuni ya Samsung au niseme iliyokuja na brand new ya samsung msingi iwe used haswa kuanzia J5 prime,J7 ,Note 4 na kupanda juu dau langu elfu 20K kwa mwanza itapendeza sababu...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari za muda huu, Nilikua naulizia sehem zinapo uzwa mashine za kuhifadhia maziwa na bei zake. Uwezo wa kuhifadhi uwe kuanzia ltr 100 na kuendelea. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
5K Views
THE WHEEL AUTO STORE TUNAPATIKANA UBUNGO BUS TERMINAL (KULE NYUMA KWENYE MAEGESHO YA MAGARI) KWA MAHITAJI YA TAIRI ZA MAGARI SIZE ZOTE KARIBU TUKUHUDUMIE. 0717438287/0764547024
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji photocopy machine kati ya aina zifuatazo:- IR2025, IR2520, IR 2020 na hata kubwa kidogo zaidi ya hizo. Bei tutaongea.. mwenye nazo anicheki faster nahitaji ndani ya siku mbili tu.
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Shamba zuri tambarare ukubwa heka tano linauzwa Shamba lipo maeneo ya kongowe kibaha eneo la saranga umbali km 10 kutoka barabarani. Kuna barabara ya vumbi magari yanafika.kuna reli ya umeme...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom