Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Eneo lipo kerege kama unaelekea bagamoyo lipo upande wa kushoto, mita 500 kutoka lami Hati ya eneo ni ya viwanda Maeneo hayo kutoka lami yametengwa kwa ajili ya viwanda Kwa sasa panafaa...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Nipo temeke... namba zangu hizo 0742 900 511... Kama unavyo tujuzane nije kubeba mzigo
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Natengeneza Membership systems za kulipia kwenye website kwa bei nzuri kabisa. System hii inatumika sana kwa wale wanaotaka kutoa taaluma/mafunzo ya ujasiriamali au ya kitu chochote...
0 Reactions
2 Replies
637 Views
kwa wale wanaohitaji kuandaliwa memorandums za kufungulia kampuni na msaada wowote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives, companies's memorandums n.k kwa...
1 Reactions
0 Replies
567 Views
Natafuta gari hizi iwe kwenye hali nzuri na bajet isizidi milioni 8 1/Allion Nzuri Bajet ichezee kwenye hapo 2/Spacio bajeti ichezee chini ya 8 3/ Harrie model ya zamani bajet isizid 9...
1 Reactions
2 Replies
901 Views
Magari yafatayo yako sokoni piga 0719539431(larson) ku ona Gari au kukunua Gari kwa anaetaka kuona au kununua piga nanba hii hapa (0719539431)pia tebmbelea blog yetu kwa picha detail na magari...
0 Reactions
77 Replies
101K Views
Natarajia kuchinja nguruwe wangu watatu nauza nyama jumla na reja reja kwa siku ya kesho,nikipata Wateja jumla itakua vizuri,kilo shilingi 6500.wapo Tabata segerea.napokea order mbali mbali,Mzigo...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga.. Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TUNAUZA NA KUSAMBAZA MAZIWA DAR ES SALAAM. MAZIWA FRESH TSH 9,900/= (Kwa lita 5) MAZIWA MTINDI TSH 11,900/= (Kwa lita 5) KUTOA ODA,PIGA 0715052712 (Masaa 24) TUNALETA BURE ULIPO (Vigezo...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Huna haja ya kuacha simu nyumbani au kuiweka mbali ukiwa unafanya mazoezi tumia phone arm band ufurahie mazoezi yako jipatie kwa sh 10000 za kitanzania utafikishiwa ulipo kwa wakazi wa dar es...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
TILL za mitandao yote yaan 1. Vodacom(m-pesa)-150,000/= 2. Tigo(tigopesa) -120,000/= 3. Airtel(Airtel money) -100,000/= 4. Halotel(halopesa)- 70,000/= pia maelewano yapo!. Till zote zina jina...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari mkuu, karibuni mujipatie viwanja safi kabisa kwa bei ya ofa. Viwanja vipo kiluvya, ambapo ni 3km toka mbezi mwisho. Kutokea hpo kiluvya mpk kwenye viwanja ni 3km pia Viwanja vipo sehemu...
1 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari wanajamvi. Nina mpango wa kuanziasha biashara ya kutengeneza matofali na pavement blocks. Sasa nimepata chimbo moja lina mashine safi sana kwa hii kazi. Tatizo langu sijawahi kuagiza...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda wakuu, Mimi ndugu yenu niko mjini hapa Dar es Salaam kwa shughuli itakayoniweka mwezi mmoja na kidogo, ili kurahisisha suala zima la sehemu ya kulala nimeona nitafute chumba...
1 Reactions
6 Replies
869 Views
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA...
6 Reactions
80 Replies
8K Views
Kwa Mawasiliano: 0768 638360 Karibu sana..
0 Reactions
50 Replies
8K Views
1
MOJA KATI YA KAZI ZANGU ZA UPAIWAJI NIKISUBIRIA BATI NDANI YA MWANZA 0655595954 /0687056309
0 Reactions
1 Replies
813 Views
wakuu natafuta chumba pande za magomeni mapipa.... nahitaji chumba cha kawaida(self itakuwa poa zaidi) maji ya bomba,umeme ni must... bei yangu ni 40-70 kuendana na quality ya chumba. note;nipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Get a website for 25000 only domain included
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Habari zenu wadau wa biashara, uchumi na ujasiliamalia? Ebana ningependa kufahamu juu ya upatikanaji wa vifuko vya ujazo tofauti kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa ila ningependa kufahamu haswa ile...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom