Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza tecno k7 ram 1gb storage 16gb finger print supported back camera 13mpx front camera 5mpx flash mbele na nyuma kazi kwako bei 170,000....kama upo serious nichek 0716385824..napatikana dar
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina huitaji wa kifaa hiki
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SATA laptop harddisk inauzwa bei 45k location Dar #0713310711
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Nauza bomba ziko katika hali nzuri kabisa iwe Mitsubishi canter ton 2 zinafaa au isuzu ziwe ni tipa au kawaida zinafaa tu bei laki 7 contact 0752048709 makambako njombe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Offer hii ni mwezi 1tu unapata ramani za nyumba kwa gharama nafuu with documents, pia tuna jenga nyumba tupo Arusha na Tanga. Contact: 0674904430
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natafuta msichana mrembo umri kuanzia miaka 25 mpk 30 siangalii dini wala kabila.
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Nahitaji game ya fifa 14/15 nicheck niweze kuweka kwenye PC yangu.. Popote Dar es salaam Nicheck 0692603477
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Pia tunafanya underground water (surveying) kwa mahitaji zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi 0714453589,0621711451
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu naomba kujuzwa bei ya hio mbolea kg 50 wanuzaje
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Greenhouse yenye ukubwa wa sqm 80 iliyopo tegeta wazo inauzwa. Bado ni mpya na ina uwezo wa kitumika kwa zaidi ya miaka mitano mbele. Ipo na facilities zote hasa maji. Inafaa kwa kilimo chochote...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari! Wakuu naomba msaada wa bei kwa simu tajwa hapo juu dondoo au mwenye duka k/koo ambae anauza kwa bei ya jumla au mtu yayote anaelijua chimbo kwa hizi simu maana naonaga wale jamaa huwa kuna...
1 Reactions
6 Replies
18K Views
wadau nlikua natafuta eneo zuri hv la biashara ya chips ambayo isiwe ya bei ghali saana kama chini ya laki moja hv ambayo local local ila kuna wateja weng na lamechangamka maana nmesumbuka sana...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Natafuta spare za s4 ikiwepo machine. Machine iwe nzima lakini
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu. Pikipiki Aina ya Haugue inauzwa sh. 850,000/=. Piki Piki ni nzima na haina shida yoyote. Kwa anayehitaji aje PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza juice dispenser ya container 3. Bado ni mpya kabisa hajawahi kutumika. kwa atakaye hitaji nipo dar maeneo ya airport. Tunaweza wasiliana kupitia namba zifuatazo; 0755211064, 0716433382 Bei...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Bei ni sh. Laki 5 ( laki tano) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita) Nyumba inavyumba v3 vya kulala Ina master bedroom Ina sitting room Ina dining Ina kitchen Ina public toilet Ina tiles Ina...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Bei ni sh. Laki 7 ( laki saba) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita) Nyumba inavyumba v3 vya kulala Ina master bedroom Ina sitting room Ina dining Ina kitchen Ina public toilet Ina tiles Ina...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
(Price 200-150k) NEW DESIGN FOR ROOFING KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF, HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu natumaini hamjambo. Kichwa cha habari chajieleza hapo juu. Naomba kueleweshwa,ni njia gani kati ya kuuza nyama ya nguruwe kwa kilo jumla na kuuza nguruwe mzima mzima. Ipi ni njia nzuri na...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Bei ni laki 4.5 ( laki nne na nusu) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita) Nyumba inavyumba v3 vya kulala Ina master bedroom Ina sitting room Ina dining Ina kitchen Ina public toilet Ina tiles...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom