Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari ipo safi sana na inafanya kazi,ipo Manyara,usajili DJC,ina engine ya 2rz injection-petrol,inatumia mafuta vizur,kwa alie serious aje akague gar na mazungumzo yapo.nicheki kwa 0621128905
0 Reactions
1 Replies
5K Views
TUNAUZA MABATI KWABEI YA OFA FIKA KIWA NDANI KWETU UPATE MABATI KWA TSH 2000 OFISI ZETU ZIPO POSTA KIWANDA CHETU KIPO BUGURUNI KWAMA WASIRIANO TUPIGIE KWANAMBA 0653186373
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Habar wana jf Nauza tecno k9 bei 200k ina hali nzuri ina miez 6 toka inunuliwe haina scratch yoyote ila inatatizo upande wa camera ya nyuma inasumbua ila video calls inafanction na vitu vingine...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Kiwanja kinauzwa sq meter 990. Kiko somangila kigamboni. Bei mil 15 . Kimepimwa na kina hati. Anaehitaji namba ya kunipata ni 0713298900
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa hii mifuko ya kufungia bidhaa madukani inapatikana wapi hasa kwa bei ya kununua ili niuze kwa bei ya jumla? Yaani nataka niwe nanunua alafu nauza kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi mm ni mjasiliamali.Natafuta mbolea ya kuku kwa kiwango kikubwa Sana Takribani VIROBA 200 kwa mwenye nayo au anayejua inakopatikana anisaidie kunifikishia ujumbe nambari 0745262063...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Processor core i3 Processing speed 2.4ghtz Ram 4gb Storage 320gb Display 14 inch Tatizo battery haikai na charge kabisa Price 250k
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam humu ndani Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Karibuni JEWS CONSTRUCTION inapatikana Kerege na Bunju. Tuna supply vifaa vya ujenzi. Tume establish kiwanda cha matofali kilichopo Kerege na Bunju. Tunatoa tofali zenye ubora wa hali ya juu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana wa Taifa la Mungu mmeshindaje ? Nina mbwa wangu wawili naomba kama Kuna mtu anayejua training wa hao puppies please tuwasiliane ,wako Arusha mjini .Asante sana ,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Ninauza used external hard disc yenye maelezo: 1. Aina: hp 2. Ukubwa: 500GB 3. Rangi: Nyeusi 4. Muda wa kutumika: Miezi minne 5. Bei: 80,000/= maongezi yapo 6. Inapatikana: Dar es...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa maelezo zaidi tuwasiliane gsmsolution2009@hotmail.com mafundi ndio watakaofaidika zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
SMART ROOM CONTROLLER. Ni kifaa maalum kinachofungwa kwenye ukuta wa chumbani kwako au kwa mtoto wako, kazi kubwa ya kifaa hiki ni ku-controll taa na feni vya chumbani kwa kutumia simu yako! Kifaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inawezekana ratiba yako inabana na huna muda wa kuhudhuria mafunzo, au unataka upate mwanga ili ukija hudhuria mafunzo ya TMT au wengine uwe una mwanga wa kutosha. Lakin nitajitahid fundisha yote...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza naitaji kununua mbegu za maboga kwa mwenye nazo naomba anifahamishe anauzaje kwa kilo na anapatikana wapi Asanteni nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Dar unaletewa BUREE na utalipia mzigo ukifika, usilipie kabla ya kupata mzigo 2. Ofa ni kwa tv za star x na philips tu kama utavyoona kwenye picha. 3. Tv na sabufa zote ni mpya na zna...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba, Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, kutokana na nature ya kazi ninayofanya inabidi nipate gari ndogo itakayonisaidia. Kuna eneo ambalo ninalo, nimelikata viwanja, maeneo ya kigamboni, changamoto inakuja...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Najua ubize wa kazi na majukumu ya kila siku imekua ni changamoto kwako kuweza kufanya mazoezi ya mwili,wakati mwingine unafika nyumbani muda umekwenda sana na kushindwa kuhudhuria gym,sasa sisi...
1 Reactions
35 Replies
50K Views
Back
Top Bottom