Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
PeMS ni mfumo ambao unauwezo wa kuhifadhi kumbukumbu za mauzo pamoja na kucontrol stock jumlajumla,rejareja na kwa kutumia bima. Huu mfumo unaweza kutumika kwa njia mbili. 1.kwa kutumia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
AMIS is web based system which designed to handle all Academic Institution information include both colleges and schools. AMIS Feature. Here are just a few list of the available features 1.Store...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nahitaji nyumba kubwa kwaajiri ya kufanya hostel ya backpackers maeneo ya Dar es salaam ; Kigamboni, Mikochen, kinondoni na Mbezi yote...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Hbr wakuu, Natafuta kiwanja sehemu za Kigamboni, kikiwa Mji Mwema, Geza Ulole au Kibada itapendeza zaidi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Suti ya kodrai nyeusi, mpya na haijavaliwa zaidi ya kujaribishwa inataka mnunuzi kwa bei ya chini (pungufu) ya dukani (original price)..... Kama upo interested weka offer yako njoo tuyajenge......
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu ununue bidhaa za asili za (Natural Products) Tunauza Mafuta ya nazi pure na organic kwa bei ya jumla na rejareja Pia tunauza mafuta ya nazi yaliyochanganywa na mchaicha na Rosemary mazuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach). Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Toyota Wish Year : 2004 Engine capacity : 1990cc Trans : Auto Drive : 2wd Chassis No. ANE11-0024352 Other : AB ABS AERO RS FOG HID NV B-MONITOR Grade : Z Gharama yakuagiza pamoja na ushuru : Tzs...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Mimi ni sales representative wa kampuni ya Bima. Napenda kuwatambulisha huduma ya bima ya afya inayoitwa AFYA WOTE. Hii ni bima ya afya inayotolewa mahsusi kwa...
3 Reactions
44 Replies
10K Views
Habarini? Nahitaji Nyumba ya kupanga ndani ya jiji la ARUSHA maeneo ya Sakina itapendeza zaidi iwe na vitu hivi: 1. Inajitegemea peke yake kuanzia lango kuu la kuingilia na uzio wake. 2. Iwe na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu Natafuta mbegu za mmea wa azolla kwa ajili ya kuotesha,mwenye nayo kwa DSM naomba ajitokeze tafadhali
0 Reactions
1 Replies
3K Views
IST isiwe imechoka sana wadau
0 Reactions
9 Replies
777 Views
Habarini wakuuu naomba kujuzwa soko la mahindi kwa mkoa dar ikiwezekana na bei zake thanks
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ninatafuta mahali pa kuuzia choroko yangu ambayo naikusanya kutoka vijijini kwa kipndi hiki. Mtaji wangu si mkubwa sana lkn nina uhakika wa angalau tani tano...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jf, Mbwa mkali kwa ajiri ya ulinzi wa nyumba na mashamba anauzwa kwa bei rahisi kabisa. 20,000/= tu. NiPM kwa wateja serious.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
HDD 500GB RAM 4GB Core i7 Bluetooth Web camera Betri 3hrs Bei 350,000 Haina tatizo lolote, nina shida na pesa tu 0759266644
1 Reactions
9 Replies
2K Views
.
1 Reactions
4 Replies
744 Views
Ninahamia Tabora na nawachukua mbwa wangu na nitahitaji gari ya kuwabeba.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama title inavosema nilikua nahitaji Kwa haraka Sana .....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom