Wakuu habari za muda.
Nauza Kiwanja changu, Ada ya watoto kwenda kumalizia muhula imeanza tena kusumbua
Sifa za Kiwanja
-Kipo Chanika, Zogo Ali
-Kumejengeka
-Msingi imara WA nondo 12mm, NNE kila...
Wadau Mimi naitwa Keleni niko kasulu natafuta matajili watakao nipa tenda ya kununua mahindi sisi hapa kasulu mahindi ni mengi kwa bakuli la kilo moja na nusu tuna nunua shilingi 1000 naomba kazi...
Kama heading inavyosema, gari tajwa hapo juu inahitajika
Sifa
-Engine 3s
-Taa zake ziwe na bulb mbili kwa ndani/partition mbili
-Rangi ya silver, dark blue, blue, damu ya mzee au nyeusi
-Iwe...
Habari wana jamvi,
Natafuta chumba cha kupanga sehemu yoyote kwa Dar ambayo nitapanda gari moja tu kufika mjini pia huduma za maji ziwepo pamoja na umeme na kiwe chumba kizuri na isiwe nyumba...
Naishi nchini Canada nilikua najenga bongo, kutokana na mafundi wengi hapo bongo wamekua wababaishaji, wezi wa vifaa na uchakachuaji niliamua kumtoa fundi kutoka Moshi.
Mafundi kutoka Moshi...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Katika harakati za kujiinua kimaisha, watu wengi wajikita katika uzalishaji wa sembe na dona kwa matumizi ya binadamu kama chakula. Lakini kama inavyojulikana katika biashara package matters...
Napatikana kwa simu namba 0654352424 nipo Dar es salaam unaruhusiwa kukagua ni original kabisa zimetoka Dubai ni orginal
kwa alie na interests nazo anitafute kwa kuzikagua
Habari zenu wakuu
Poleni na majukumu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, sisi ni kampni inayoitwa PRIDE ELECTRONICS , Tupo kariakoo Dar es salaam na mipango ya kuenea mikoani ipo.
Tunauza...
Nissan Note namba D, haina tatizo lolote
1300cc,
Millages 170,000Km
Ya mwaka 2005.
Bei 6.7M, mazungumzo ni madogo sana.
Njoo PM kwa mazungumzo
Ipo Mwanza,
Unaikagua mwenyewe au njoo na fundi...
iwe tecno J8 au samsung note 1 au S3 au sony Z1 au lumia 930 au lumia yenye window 10 nna 100000 cash nipo dsm 0787 429104
tuma sms au piga sipo online
AMD E SERIES DUAL CORE PROCESSOR
1.50Ghz PROCESSOR SPEED
4GB RAM
500GB HDD storage
15.8 inch screen
High definition display
Shared graphic card
2 usb 2.0 ports
Up to 6 hours...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.