Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Haya wana JF kwa mala nyingine tena Compuni yenu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER,tumeamuwa kuwaletea solar power kwa bei nafuu kabisa kutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza...
0 Reactions
33 Replies
35K Views
habari wana jf nauza software ya kugenerate theme yeyote ile kama vile theme ya drupal,wordpress,joomla,blogger,html5,magento,pretashop,virtuemart,bootstrap,woocommerce,na opencart inagenerate...
0 Reactions
2 Replies
671 Views
SMD rework station 100,000 gun yake tu ilizingua Fingerprint module for arduino 60,000 Speakers hizo 10,000 Motherboard hiyo utanipa 35,000 Mahali: kigamboni, Dar es Salaam Karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FAHAMU JINSI YA KUTIBU CHUNUSI . -Ngozi za binadamu zina muundo sawa ila kitabia hutofautiana kulingana na experience za mtu huyo alizopitia,vyakula tunavyokula na msongo wa mawazo ya mtu husika...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza iPad 3 sh. 300000 + cover + charger Pia exchange allowed kwa Samsung note edge, Samsung note 4 au HTC ONE M9...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
AMD E SERIES DUAL CORE PROCESSOR 1.50Ghz PROCESSOR SPEED 4GB RAM 500GB HDD storage 15.8 inch screen High definition display Shared graphic card 2 usb 2.0 ports Up to 6 hours...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habr: wakuu kwa mwenye pikpik aina :- kapor au Boxer inatafutwa bajet yangu m13 iwe saf iwe haijafunguliwa engne Nb: iwe Sumbawanga.
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Mwalimu Jackson Jasper Managing Director Excellent Training Center Tanzania S.L.P 5902 DAR ES SALAAM Alkhan road, Upanga East Ward Call 0676450289. Jiunge na soma QT na Resitter (PC)
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Mwalimu Jackson Jasper Managing Director Excellent Training Center Tanzania S.L.P 5902 DAR ES SALAAM Alkhan road, Upanga East Ward Call 0676450289. Jiunge na soma QT na Resitter (PC)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta Laptop Used mtu aniuzue . Iwe kwenye hali nzuri Ram iwe kuanzia 3GB ikiwa 5GB itapendeza . HDD iwe 500GB na kuendelea. Bajeti yangu ni 300k to 250k kulingana na ubora wa PC yenyewe...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
RAV4 Max 1997 inauzwa Tsh 12,000,000 iko kwenye good condition. Ipo Zanzibar
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari. Nauza smartwatch/fitness tracker mpya sealed yenye kufanya yafuatayo: -Inapima mapigo ya moyo (heart rate monitor in bpm). -Ina monitor muda uliolala (sleep time monitor) -Ina hesabia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wallet za kiume za PU-Leather soft zinauzwa. Zina card slots, zipped notes pocket. Zinauzwa elfu 15 tu kila moja. Wallet ni mpya sealed. Nipo Ubungo DSM 0758095750
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Gari nzuri inavutia sana kama inavyoonekana kwenye picha ni gari ilyotumika kistaarabu sana uwezi ata kuilinganisha na namba d ya sasa iv gari inaishi mbezi tairi mpya Sony music ndani na mmiliki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, hiyo Friji hapo inauzwa bei yake ni 200,000 maongezi kidogo yapo. Bado iko vizuri na inachapa kazi haswa! Ukiweka maji humo ama kinywaji chochote kinaganda kama jiwe. karibuni. Nb. Iko...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello mate group ya mafunzo. BUXCOIN TANZANIA
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Nataka kusafirisha mzigo kwa njia ya Bahari! Karibu PM kwa maelezo zaidi!
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Accer tablet iconia one 10 B3-A32 KWA MAWASILIANO 0759827138
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Gari aina ya TATA L09 linauzwa. Liko katika hali nzuri limetembea kms 10,600. Bei ni 38 million. Usajili ni T 253 DJQ Mawasiliano. 0754 300 880
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom