Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hello everyone, Natafuta contacts za supplier wa malachite kutoka Congo, Nina safari ya Congo kwa ajiri ya Malachite nahitaji mtu ambae yupo kule tayari. TIA
1 Reactions
0 Replies
678 Views
Nauza iPad min computer Bei ni 400,000tsh. Maelewano inbox
0 Reactions
9 Replies
903 Views
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school. Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa. Urefu wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Waungwana, Naomba kufahamu bei ya Choroko kwa wastani na upatikanaji wa masoko yake Natanguliza shukran Ahsanteni
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wandugu, Tunanunua Choroko hapa Dar, Bei ya leo ilikuwa shilingi 1,080/= kwa kilo. Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Salaam JF, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojinadi. Nahitaji sofa used lililo katika hali nzuri la kukaa watu wawili kwa maeneo ya Dsm, Lisiwe na kunguni Offer yangu elfu 50 tu, kama unalo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi JF Members, Nauza kiwanja changu kilichopo Kigamboni. Kiwanja kipo sehemu iitwayo Mwasonga, karibu na kituo cha daladala cha mwembe mdogo, jirani kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO Houses...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina choroko ziko shinyanga,kama kuna mnunuzi tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kujuwa soko la choroko zinanunuliwa bei gani na wapi wananunua maana huku mtwara hali si shwari
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Shamba ni pori halijawahi kufyekwa, lipo bagamoyo, msata road kiwangwa kijiji cha Mwetemo. Shamba lina hati na pia lina ukubwa Wa ekari 24 na bei yake ni Tsh 12,000,0000. MAELEWANO YAPO. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Bei ni 200000/ Kwa anaye hitaji Piga sim 0715591141....dar Ova
0 Reactions
1 Replies
2K Views
inahitajika , TV card. Nitafute kwa 0715098873
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Kwa yeyote mwenye kuhitaji vitu tajwa hapo vinauzwa; 1. TV Lg inch 32 Led - ilikuwa haitumiki tangu iliponunuliwa bei 450,000 Tsh 2. Friji ndogo Elekta- Imetumika kidogo bei 300,000 Tsh 3. Home...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Njoo inbox tumalize biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Ninahitaji simu, htc disire 320: Bjeti nina laki 1
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Wanajamvi, Kwa yeyote anayeuza USB Headset yenye microphone kwa bei ambayo ni affordable. Tafadhali, naomba tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Mkurugenzi wa kampuni ya E.G.C. Honolulu Promotion and General Business,ndugu Gilson Nchangu,anatoa tahadhari kwa wananchi na jamii zima ya watanzania kuwa ,mashindano hayo yanamilikiwa na kampuni...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wana jamvi salama, natafuta mayai ya kwale, kwa mtu aliyeko Dar tafadhali tuwasiliane kwa namba hii ya simu 0752747312
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kilicho kwenye process za kupimwa,malipo ya awali tayari yamefanyika,kina ukubwa wa square metres 592,kipo mbezi msumi C....TZS 14M maongezi yapo...kina miembe 6...na ni tambalale,kipo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom