Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari za jioni wadau, Nina shida ya chumba cha kupanga. Kiwe maeneo ya kinondoni mpaka magomeni dar es salaam. Kiwe karibu na main road (kawawa road) Kiwe na umeme, maji na gypsum, Sitaki nyumba...
0 Reactions
10 Replies
989 Views
Kama uko Dar please, natafuta vifaranga vya samaki aina ya Sato. Itakuwa vyema zaidi kama utanifikishia nilipo. Nipo Bahari Beach, Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
943 Views
  • Closed
Habari, Printer ainaya inkjet canon iP2700 bei sh. 150,000 na ina print colour na black. Nitafute, 0758308193
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mahitaji simu iliyotumika aina ya tecno smartphone k7/r7/j7 Nina laki moja Ila iwe Na specifications hizi 4G Quad core 2 simcard 2camera N.k
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wana JF Wale wakazi wa Zanzibar Unguja Pemba nk...ambao wapo JF naomba kupata habar za soko la kuku wa kienyeji Nikiwa katika matembezi yangu katika mkoa wa Tanga nimeona kuku wengi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu nahitaji mwenye spika za home theater ambazo ni 5:1.Aje pm tuongee biashara.. Nina kichwa cha panasonic blue ray...watt1000 ila hakina spika zake.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Laptop aina ya hp635 naiuza kama spare ilizimika ghafla,inawaka lakini haionyeshi kwenye kioo (hai display kwenye screen) Naiuza ikiwa na sifa zifuatazo 1.RAM 2GB 2.HARD DISK 500GB (ikiwa na full...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamii nawakaribisha mjipatie vifaa vya ujenzi aina zote kama vile marine boards, plywood, silingboard, nondo, mabati, gypsum, misumari, na hardware zote kwa bei nafuu
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Kabati linauzwa ni lakuchonga milango mi3, lina hali nzuri. Lipo Kijitonyama Dsm bei ni 350k. Dm kwa maelewano zaidi.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naombeni msaada mwenye kujua soko la mbaazi kwa bei nzuri iwe ndani au nje ya nchi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Napenda kuwatangazia kuwa nina kiasi cha zaidi ya tani 60 za tangawizi mbichi. Inapatikana Songea.A serious buyer ajitokeze tuwasiliane zaidi. Ahsante
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Habari wakuu.. Nahitaji tipper 4 za kichina kuanzia ujazo wa 15CBM za kukodi kwa mkataba wa muda wa miezi 3 maeneo ya Dar es salaam. Yeyote aliye interested, pls PM me ama nicheck kwa email...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam zenu,naombeni msaada. Nahitaji tunguu swaumu vikavu. Mwenye kujua sehemu yakuvipata na bei yake nitashukuru.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,tunauza zungura aina ya california kwa bei ya kuanzia elfu ishirini na tano(tsh.25000) kwa sungura wadogo na elfu thelathini (30000) kwa sungura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unauza fremu Kariakoo ninahitaji nguo ama electronics.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
IMMACULATE CONSULTING TANZANIA LIMITED NI KAMPUNI ILIYOJIKITA KUTOA HUDUMA ZA USHAURI WA KIBIASHARA HASA KWENYE NYANJA YA UADISHI WA BUSINESS PLAN ( MPANGO WA BIASHARA) KARIBU TUKUHUDUMIE, KWA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ulinzi wa nyumbani na ofisini unaweza kufanyika kupitia Digital CCTV CAMERAS ambayo unaweza ukuon ata ukiwa mbali kupitia simu yako ya mkononi tu....
1 Reactions
1 Replies
757 Views
Salute, wakuu ninaomba msaada wenu,mwenye chumba cha kupangisha maeneo hayo naomba anisaidie. bajeti yangu ni 45000-55000/=. Kwa miezi sita. contacts zangu= 0716345089
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta chumba single kiwe self mitaa ya Banana, Keko au Airport Dar es Salam. Msaada ndugu zangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ipo vizuri haina tatizo lolote bei milioni 6 maongezi yapo kidogo njoo tufanye biashara serious buyers kwa mawasiliano 0659299667.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom