Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mme amkaje. napatikana dar es salaam. nahitaji watu au shule za kuwauzia novels za watoto kwa bei nzuri kabisa na nyongeza. novels ni za watoto na wakubwa. WATOTO *kuanzia chekechea(picha nyingi...
0 Reactions
5 Replies
788 Views
Nyumba kubwa Vyumba vya kulala 4 3 choo ndani, 1 choo nje, Sebule , jiko na sehemu ya kulia. Nyumba ndogo Vyumba vya kulala 2 2 choo ndani 1 choo nje Sebule Bei ya kupanga milioni 1 kwa zote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna Chumba kiko wazi ni self na kiko ndani ya fensi,kiko Makongo juu CCm Kodi yake 130k kwa mwezi Ukitaka kukiona Nichek pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nauza container ya 20ft iliyo katika hali nzuri USD 1,100. Inamilikiwa kihalali. Pia trucks 113 ambayo inahitaji matengenezo kidogo kwa Tsh 14mil. Tela yake utaipata kwa 13mil ambayo iko...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanabodi, Kwa wanaofahamu bei za kupangisha chumba/vyumba Buza naomba anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama linavyojieleza, ni kwamba mwaka jana mwezi wa saba nilinunua pampu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Bahati mbaya nilishindwa kuanza msimu ule kwa sababu nilipata matatizo ambayo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Toyota harrier 4cylinder vvti engine, new model 2003 Bei milioni 23 maongezi yapo kidogo Location Dar es salaam kwa mawasiliano 0659299667 ukihitaji gari aina yoyote nitafute kwa namba hiyo upate...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi natumai mko poa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa bei ya simu aina ya Samsung. Je kwa laki tano nitapata simu ipi ya samsung kwa hapa dar, iwe mpya na original.
0 Reactions
46 Replies
3K Views
nauza machine ya kuchomelea IPO katika hali nzuri ni Mpya na ya kisasa kabisa inauwezo mkubwa mpaka wa kutoboa chuma bei, 400000! machine IPO Sengerema mwanza mawasiliano:0752530592
0 Reactions
2 Replies
5K Views
price 850k kama upo interest nicheki kwa no 0716917896 Specification Graphics Processing Radeon R9 390 Core Clock 1025 MHz Process Technology 28 nm Memory Clock 6000 MHz Memory Size...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Naomba mnitajie novel za kiingereza na vitabu vya ujasiriamali vya kiingereza ili niongeze ujuzi wa lugha na maarifa.
2 Reactions
73 Replies
9K Views
Generator inauzwa bei poa sana tsh 100,000 laki moja .... Sifa.... -Bado ina upya wake niliinunua miezi miwili iliyopita inapiga kazi kama kawaida... -JINA lake Ni MAXTIGER..picha zinaonyesha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello GT. Naomba Kwa anayejua nitapata wapi kitanda cha massage please aniunganishie ,Hata kama kimetumika , Asante and have a great day .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza, Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini ndugu wote humu ndani, Kwa yeyote atakayehitaji kuku wa kienyeji tuwasiliane wanapatikana wengi tu bei ni rahisi itaendana na idadi ya m2 atakayohitaji ila ni kuanzia 16000 wakubwa.
1 Reactions
34 Replies
3K Views
GEOENGINEERS SURVEYORS LTD. Tunatoa huduma zote za upimaji ikiwemo: Ø #Upimaji wa viwanja vya makazi, viwanda, biashara n.k. Ø #Upimaji wa barabara Highways, street roads n.k. Ø #Uchoraji...
1 Reactions
2 Replies
878 Views
chumba masta sinza kinapatikana(Tiles +Gypsum) , kipo viizuri sana..bei 150k kwa mwezi .. kodi miezi 6.. kipo sinza karibia na law school. wahi mapema.. wa kwanza kuweka order na mzigo ndio wa...
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490 Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
19 Replies
5K Views
HDD 500 Gb Ram 4 Gb Core i7 Processor 2.6 GHz Betry 3hrs Haina tatizo lolote, Nina shida na pesa Bei 400,000/ Napatikana Dodoma 0759266644
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Anatakiwa mchawi aliyebobea ama awe wa makafara au mchawi wa matunguli ambaye atakuwa na uwezo wa kubadili hali ya mambo kwa muda mfupi sana. Mchawi huyo awe na nguvu ya kupindua mazindiko ya...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom