Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wakubwa, yale majiko bora kabisa na ya kisasa jikokoa yamewasili tena, majiko haya ni imara na yanadumu miaka zaidi ya kumi, yanatumia mkaa kidg sana na hayatoi moshi, yanaokoa zaidi ya 50%...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Master-bedroom kubwa sana maji yapo yanaflow chooni ,kipo mawasiliano stand kama unaenda sinza Master-bedroom kubwa maji muda wote full tiles and gypsum plus car parking ... Bei 150 kwa miezi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Iphone6 gb64 iko sokoni. Haijatumika
1 Reactions
16 Replies
2K Views
GUYS/WANA-JF Nahitaji mashine ya kuchomelea iwe used/mpya mwenye nayo anicheki kwa namba hii 0712058990
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wanabodi, gari inauzwa, Nissan Cube, 2007, 1490cc, Petrol, inauzwa milioni 12.5 Imesajiliwa April 2018 Mileage 1OOk Imetoka bandarini. Dark brown. Haina Insurance Ina wheel spanner, spare...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta mpishi så fast Food ,
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Habari, natafuta makabati ya alluminium mawili.. Mwenye nayo anijuze tafadhali na offer yake.
0 Reactions
3 Replies
800 Views
S
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Kwa yeyote mwenye kabati la Alluminium lenye urefu usiopungua futi 3 nalihitaji kwa matumizi ya duka la vipodozi.. Anayekaa maeneo karibu na Kibaha atapewa kipaumbele ili kuokoa gharama za usafiri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajumuiya wa jf Nina vitabu kumi tu nahitaji kuprint kwa mji wa dar es salaam eneo gani niweze kupata msaada huo nipo morogoro jumatatu nitakuwa dar es salaam tafadhali mje hapa
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa ft 100 kwa 90 kinauzwa eneo la chakenge mtaa wa yange yange,kivule,kitunda,kipo karibu na inapojengwa hospitali ya wilaya ya ilala,kinafikika kiurahisi,kina njia ya mtaa...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji nyumba simple ya kupanga iwe na chumba kimoja na sebule, self contained (yaani choo na bafu kwa ndani). Isiwe mbali sana na city center na iwe mpya kidogo. Kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mlioko site hapo kuna mhitaji kataka nimsaidie kufikia hadhima yake hii. Anaomba kujua walioko hapo mjini Bukoba chumba cha kuishi cha standard kwa mwezi ni bei gani na mitaa ipi ya kuishi...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Nauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
wakuu nauza nokia asha 302 imetumika miezi mitatu tu! kwaiyo bado ipo ktk halinzuri sana pia haina tatzo lolote. sifa za simu ina #whatsap #Internet 3G camera na mengineyo mengi bei ni sh 75000...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina Laptop yang ya HP PROBOOK 450 G2 i5, ilipiga shot motherboard, kwaio inatakiwa replacement ya motherboard, Kwa aliyenayo au akanisaidia shm naweza pata. Pesa ipo mda wwt ukinihakikishia km n...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Unaweza katia alluminium au mbao naiuza tsh 350,000/. Inaafanya kazi Vizuri tu Kwa anayehitaji anipigie simu 0715591141 dar Ova
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wapendwa salama? Natamani kujenga na kuishi Kigamboni kwa siku za baadae, nilkuwa nauliza naweza kupata kiwanja Kigamboni kwa around 2.5m to 3m? Na utaratibu wake ukoje? Nilisikia kuna viwanja...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
T 321 aje Colour white No any mechanical default Japanese nissan Price 10 mill Call 0622 027490 Photos below
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau tiles bora na bei nafuu zinapatikana wapi Dar?
0 Reactions
20 Replies
26K Views
Back
Top Bottom