Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ninauza gari Mark II Balloon kwa shilingi milioni mbili na nusu tu. Kwa wanaopenda kuiona tuwasiliane kwa 0785 872 256. Muda wowote. Gari inaweza kuingia barabarani, kutumika kama scraper au hata...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni mkulima wa zao la mpunga ,niko eneo la ukwavila mbarali bei maelewano kulingana na hai halisi sokoni
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu, nipo Dar Es Salaam nahitaji mbolea YaraMilla...Otesha, Winner &Nitrabor@10Kgs Kama ipo nipe bei na location..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamu mahali ninakoweza kupata mbegu ya Alizeti (Hybrid) kutoka India NSFH 36 na NSFH 145. Msaada wenu tafadhali
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Type-hp Processor-core i5 Ram-4gb Hdd-500gb Bettry life- 4 to 5hrs Price-400,000tsh 0764319884 dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari. Nauza fitness tracker mpya sealed yenye kufanya yafuatayo: -Inapima mapigo ya moyo (heart rate monitor) katika bpm. -Ina monitor muda uliolala. -Ina hesabia hatua (pedometer) na distance...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
RAM 1 GB HARD DRIVE NI 160GB WINDOW XP HOME BEI 185,000/ PIGA SIMU 0715591141 MASHINE IKO BOMBA OVA
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Habarini wakuu. Nipo Mkoa wa Mbeya na ninauza maboga mazuri sana kwa jumla na rejareja.Ninatuma mzigo popote Tz nipeni tu order zenu.Tena na mfungo huu wa ramadhani mambo safi. Hakika nawaambia...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Naitwa yusuph ally napatikana Tanga mjini maeneo ya Nguvumali ninatangaza mauzo ya kiwanja chetu kilichopo maeneo ya KANGE DEMU kina upana/urefu{30-60} kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
HABARI JF MEMBA, Mimi natafuta bidhaa inayofanana na hizo picha ili niweze kuangalia tv channel kupitia mawimbi ya satelite kwenye kompyuta yangu. Naomba kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba ya Chumba master bedroom Na sebule jiko tam kwa pemben sehem ya kuingia mwenyewe Umeme WA kujitegemea mwenyewe Ndan ya gate na tank la maji juu full tiles and gypsum slide windows maji Yana...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Vifaa vya saloon vinauzwa laki 6 kwa vyote bei inapungua kidogo vipo kimara mwisho kwa anayehitaji 0786408577
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habarini za asubuh wadau, kuna nyuma inauzwa kigambon kata ya mji mwema eneo la kibugumo. Ni nyumba ambayo ipo ktika hatua za mwisho kumalizika. Kuna mambo ya yametokea kunahitajika pesa ya haraka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni yetu inaitwa Kakoma electirical works &ICT engeneering Huduma tuzitoazo ICT works 1.Tunatengeneza Professional Website kwa bei nafuu(Website design) 2.Design information system...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati unaendelea kutafuta kazi, kuna viwanja vinauzwa Goba kwa msumi... Ukipata Mteja bei sh 7m nicheck akinunua utajipatia sh 300,000 bila makato yoyote.... Viwanja ni surveyed, ukubwa kuanzia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chahusika maziwa safi ya soya ya maji yanapatikana liter Tshs 2,000/. Napatikana Dar Es Salaam, Ubungo. Ukiorder lita kumi na zaidi unaweza kuletewa ulipo. Kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nakuletea popote ulipo. Good condition 1.5 Million bei negotaible imatumika 5 months.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, njoo ujipatie Hard disc (Laptop) pamoja na RAM(4GB) na kioo cha Laptop kwa bei nafuu. Mawasiliano nicheki kwa 0718274828 Nipo Dar ,Sinza.
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Wadau nina shuda sana na Matofali ya namna hii, kwa mwenye ujuzi anijuze tafadhali. Haijalishi yapo mkoa gani, Cha muhimu ni upatikanaji na bei... Shukran
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Back
Top Bottom