Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
0 Reactions
0 Replies
208 Views
HABARI WAKUBWA TUNAUZA PC KWA BEI YA PUNGUZO BABU KUBWA.! KWA TSH 700,000/= tu..🔥🔥 UNAJIPATIA.! Brand: LENOVO🥇 Model: LENOVO L13 YOGA X360💥 FULL SPECIFICATIONS ————————————— 🌟Generation 10th...
0 Reactions
2 Replies
281 Views
Nauza Oxygen Concentrator Litre 10 kwa matumizi binafsi au ya hospitali. Bei 2 Mil, Maongezi yako. Nitafute kwa namba 0744117116, napatikana Dar mkoani natuma
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
wachimbaji visima virefu Tanzania pia tunafanya tafiti za maji ardhini (surveying) mikoa yote tupo kwa maelezo sahihi ya mteja wapi upo mkoa gani na sehemu gani basi wasiliana nasi kwa namba...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari Wapendwa, Kama Kichwa Kisemavyo natafuta Mawe ya (quartz) Yasiwe Meusi au Uchafu wowote ndani yake, Yang'ae kabisa (Pure Stone). Yawe kuanzia Manne. kama unayo ni pm nipo dar
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Kwanini uingie gharama ya kubadili kitambaa Cha sofa zako? Jipatie sofa shampoo ambayo inaosha sofa kwa kutumia povu tuu, na ndani ya dk 45 tuu, sofa zako zinarudi na kuwa mpya kabisa, bei zetu...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na...
5 Reactions
3 Replies
956 Views
Faida kubwa ya kuwekeza katika kutumia bidhaa za Ngozi, ni kwasababu zinadumu zaidi ya bidhaa za material nyingine. Vile vile zinaongeza hadhi Kwa mtumiaji na kumuweka ktk Mtu wa viwango na ubora...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa... Naomba kujuzwa ni wapi nitapata finished leather( ngozi) kwajili ya kutengeneza mabegi, wallets na leather products nyingine....? Natanguliza shukrani.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Tunauza viatu hivi vya ngozi kwa 25000 rejareja na jumla 19000 kuanzia piece 10.. Pm au piga the kuweka oda... Pochi pia znapatkana..
1 Reactions
7 Replies
5K Views
TOYOTA VANGUARD YEAR 2011💦 ENGINE CAPACITY Cc: 2360 MILEAGE: 82496 ENGINE CODE: 2AZ FUEL PETROL STANDARD FEATURES FULL OPTION✅ CODE:2AZ FUEL PETROL 🛢️PRICE:28M CONTACTS:+255754459647
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Anahitajika Mfamasia mwenye Degree kusimamia pharmacy iliyopo Kigamboni ,Mshahara ni Tsh 800,000/= kwa mwezi namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
1 Reactions
0 Replies
338 Views
Incubator Bei laki 2 au unipe mitetea 25 chotara na kienyeji location Tanga Haina changamoto yoyote 0621264212 Inachukua mayai 180
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Dispensary inauzwa 120M, ipo Michese Dodoma, eneo lina ukubwa wa 956 mita za Mraba, majengo mawili, Sehemu yakusubiria wagonjwa na jengo la RCH. Hakuna Dalali
3 Reactions
5 Replies
463 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…