Habarini za jioni!
Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali...
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).
Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani...
Unataka Ipi kati ya hizi?👇👇👇
Je, unatafuta Desktop(CPU peke yakee au Complete)?
Je, unatafuta Core 2 Dual, Core i3, Core i5 au Core i7?
Je, unatafuta yenye RAM 2GB, 4GB,8GB!?
Je, unatafuta...
Only For Tsh.360,000
Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no.
Double line☑️
Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533
Simu ipo Tabata Mwananchi
Jipatie Drone upae angani kwa bei nafuu
Drone ina Sifa zifuatazo
Drone ni ya kuchaji
Inaenda umbali wa meter 200
Drone ina Camera
Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako...
Habari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- :
* Mafuta ni masafi
* Hayana harufu,
* Sio ya kuchemsha na
* Si machungu
* Muonekano wake...
Habari wana JF, kwa sasa kumekuwa na uhaba wa dollar kinachopelekea wengi wa wafanyabiashara shughuli zao kukwama.
Nimekuja na suluhisho la kukusaidia wewe mfanyabiashara unaeagiza bidhaa nje...
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia...
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.
Kuna magauni ya...
Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple
:gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇
Contact:0782821751
Nipo...
Karibu tunafanya free Wi-Fi installation kwa bei nafuu kabisa kwa matumizi ya office, home au private with speed internet of voda.
Free router installation. You are warmly welcme
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.