Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani)
Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako...
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie
number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea...
Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji...
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...
viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby
■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha...
TV ziko poa kabisa na ni mpya zilikua sampo dukani bei yake ni Tsh170000/= mikoani pia tunatuma ila garama ni zakwako mwenyewe, tunapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi karibia na jengo la simba...
Habari zenu.
Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma.
Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000
Ipo fresh kabisaaa
Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000
Fungu la wanne kwa...
Habari wakuu!
Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali...
Ardhi ndio kitu pekee kila siku kinapanda thamani tofauti na simu au gari, pata mashamba na maeneo karbu na Dar kwa bei nafuu kuanzia milioni moja na nusu kwa eka pia maeneo ya viwanda yapo mengi...
TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KISEMVULE Viwanja vipo kisemvule Km 7 kutoka Mbagala rang 3
Vimezungukwa na huduma muhimu jirani,
Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la Shule limetengwa, Eneo la Stendi...
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza samani zote za ndani (furniture) kama vile makabati, sofa, vitanda na...
Habari kuna OFA ya viwanja kibada mwera ni km3 kutoka kibada round about!
Bei sqm 1 Tsh 25,000 cash
Sqm 1 Tsh 30,000 Mkopo(miez18)
Mawasiliano 0746853161
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.