Mambo vipi wakuu!
Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni...
Taa ya mbele suzuki swift
Taa ya nyuma toyota blade
Taa ya nyuma toyota spacio
MZIGO USED DUBAI
Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator...
Room for Rent
The following
Kitchen & Living Room
Bedroom, Bathroom & Toilet
Others
Cupboard
Water Heating
Ceiling Fan etc
Room is for Bachelor's Only
Msasani Beach
Price Tsh 800,000 per...
Hizi ni nguo za mnadani za watoto kuna kiroba cha nguo 100 kwa elfu 50
Zinapatikana Bunju A Dar es Salaam
Ukitaka kuja kuziona nitafute kwa namba 0684848801
NI NGUO ZA WATOTO TU ZA MTUMBA...
Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV.
Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo.
Sofa 200,000
Tv solarmax 32"...
Nauza simu yangu kwa shida za kifedha.
Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB
Bei 190,000
Niko old moshi ...Moshi mjini
Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
Mambo yakuzingatia
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya...
Wadau haya marobota yanapatikana wapi kwa hapa Dar?
Najitahidi robota mwa ajili ya kufanya biashara.
Mchango wa mdau
Last week nilikwenda Mwanza kuulizia kuhusu Viatu
Jamaa mmoja akaniambia...
Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba
Chumba kiwe ni kikubwa...
Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata,
Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani
Ina sebule kubwa na jiko
Gypsum na tiles mpaka chooni
Kodi 200,000 kwa mwezi...
Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu...
MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU TANZANIA
FAIDIKA NA KILIMO CHA MATUNDA 🍎🥭🍊🌲🌴
🌴 MATUNDA NI CHAKULA
🌲MATUNDA NI DAWA
🍎 MATUNDA NI UTAJIRI
Jipatie Miche Bora ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.