Natafuta vijana wa kuniuzia juice fresh za matunda za kutembeza kwenye madumu
-wa kike /kiume
-Dumu la lita 5 akimaliza tatu kwa siku
-Mshahara 150,000/=
-Nauli natoa ya kwenda anapotembeza.
Alie...
Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo hilo...
Nyumba inauzwa milioni 45 ina vyumba vitatu kimoja master, choo cha public, jiko, store, dinning na sitting rooms,
Angalia video kuiona vizuri
Piga: 0683406665
Hp ni 130a Laser Jet Mpya 450,000 Full Catrage
Epson ni L3110 Full na wino wake, imetumika kidogo nyumbani 350,000
Hiti Passport Printer 100,000
Bei zote TZS 700,000
Zipo Mwanza nauza maana...
Habari yenu wakuu, Katika harakati za kuendelea kujitafuta ndipo nimepata wazo la kuwaletea huu uzi ambao unaweza kuwasaidia watu wengi kujipatia bidhaa zitakazoweza kuwatatulia changamoto...
Habari wadau, nimefunga biashara yangu ya Stationery hivyo nauza wino zilizopo.
CE0505A - 05A Black kwa HP 2035 na HP 2055 Bei ni 180,000 kila moja zipo 3.
C-EXV 33 Black kwa Canon Image Runner...
Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari.
Haya hii hapa fursa...
Habari wanajukwaaa kwa wale wenye mashamba mifugo kama kuku, bata, kanga n.k mimi ni fundi wa kuunda vitotoleshi vinavyotumia nishati ya umeme, sola, geneleta pia ni nina ujuzi wa kulea vifalanga...
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.
King'amuzi hiko ambacho kinapatikana...
Habari za leo wadau. Natafuta fundi anayeweza kujenga tanki la maji la chini ya ardhi kuanzia tanki lenye ujazo lita elfu 24 za ujazo na kuendelea. Ningependa awe fundi asiyetumia teknolojia ya...
Habari wana jamvi
Naiza viwanja viwili vyote kwa ujumla ni sq750, vimepimwa na vina hati kubwa.......vipo nzuguni Dodoma
Bei 7,500,000/= vyote
Contact 0655517964
Kwanini utumie jiko hili la mkaa kidogo
1. Jiko la kupendeza kwenye nyumba yako limeundwa katika umbo la kupendeza na malighafi zilizounda jiko ni za mithiri ya silva hivyo linakupa unadhifu.
2...
Naitwa @realivanbreaker ni Digital Marketer na pia ni Tech-Preneur. Nina fanya shughuli mbalimbali kama kuandaa Contents, kushoot video na kupiga picha ( Commercial/Corporate videos & photos )
Na...
Naomba mnisaidie kupata soko la dizaini ya mikoba hii [emoji116][emoji116]
Niko naizalisha mimi mwenyewe ila bado sijapata soko la uhakika
Kama pia mtu anaweza nisponsor kwa kununua kwa bei ya...
Mwana JF,
Je Wajua?
Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu.
Je, unafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.