Karibu!! karibu!! NIT
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama...
Hii kadi niliiokota maeneo kaloleni Arusha nyuma ya kanisa la pentecoste kaloleni
Kama una mfahamu naomba umjulishe nimejaribu kulitafuta hilo kwenye mitandao sijalipata
Nimeenda pia wanapouza...
Salaam
Inahitajika haraka
Madini ya chuma,shaba, lithiamu, risasi ya zinki.
Muhimu
Umesajiliwa Brela
Unalipa kodi
Una lessening ya biashara
Uthibitisho wa uwezo wako wa ku supply
Nipigie...
Wakuu habari za majukumu,
Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.
Nataka...
Habari Wakuu.
Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo.
Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na...
Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara.
Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti...
Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji...
Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni. Viwanja hivi vina sifa zifuatazo:
1. Vipo katika eneo zuri kwa makazi vikizungukwa na makazi yaliyopangiliwa na yenye kuvutia...
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover.
Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942...
Offer.
Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani...
Boxer bm150
Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka
Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji
bei Tsh 680,000
0658643636 Mbezi Magufuli stand
Habari wakuu, kwa mahitaji ya viwanja Dar , karibu uhudumiwe na ABC properties, kwa malipo ya cash au kidogo kidogo, kuna viwanja vya
Mbagala mvuti
cash ,sqm 1=13000
miezi 18, sqm 1=15000
miezi...
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo.
Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil...
Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata...
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii.
Brand: LG LED TV
Size: 43inch
Price: Tzs 350,000
Inafanya kazi vizuri sana with super clear...
NEW NEW NEW
HAINO TEKO COMBO
GERMANY [emoji629]
[emoji383] 120,000:TSH
[emoji390]0713579248
ORIGINAL FROM GERMANY
HIGHER QUALITY
UNAPATA SAA
UNAPATA MIWANI
WATER RESIST[emoji98]
*UNACONECT...
Heshima yenu wakuu.
Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza...
Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni.
Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.