TUNATENGENEZA FLAT TV ZOTE
TUNABADILI TAA
TUNABADILI CARD
TUNATENGENEZA PLASMA TV
LCD TV
TUNAFUNGA GPS KWENY TV YKO
TUNABADILI VIOO
TUNAUZA POWER SUPPLY ZA TV
MBALI MBALI
TUNAFUNGA AIR...
Kwema wana JF.
Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali.
Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda...
Habari za mchana wakuu.
Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.
Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k...
Habari za humu wana jamii,
Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka...
Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa.
Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama...
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika...
Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania...
Ndugu yangu NATAFUTA mwenye Uwezo wa Kupata Fly Ash kwa Ajili ya Ujenzi.
Nahitaji Kiasi cha Tone 40,000
Kwa Yeyote ambae anayo naomba Tuwasiliane kwa Namba hii 0715-011022
Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo
- 1. Thamani ya mzigo
- 2. Ukubwa wa mzigo
Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na...
Habari
karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira
Karibu...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
----...
Karibu Tairiyako General Enterprise
Call/WhatsApp :+255621560797
Tunapatikana Arusha na Dar es Salaam
EMAIL:Tairiyako@tairiyako.com
obedimollel20@gmail.com
Nauza Viwanja kwa bei nafuu .
10 kwa 10 ml 1500000
15 kwa 10 ml 2500000
Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami
Ndani kwa ndani
Ml laki 1 unapata 10 kwa 10
20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml
Heka...
Habari wana JF,
Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.