Kwa wale walio karibu na
Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari.
Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo.
Basi mteja nipo hapa...
[emoji3532]Mashine ya kuchaji ya kunyolea KEMEI
[emoji3532]Chaji masaa 4
[emoji3532]For business or private
[emoji3532]Bei 60000
[emoji3532]Airpod F9
[emoji3532]Base and sound good...
Habari Njema toka Kim's Real Estate Agency...Sasa viwanjwa vya Chanika tumeshusha Bei...toka 2,500,000/= hadi 1,500,000/=....hii ni kumaanisha kuwa kwa 1.5M to unajipatia kiwanja..Ni offer ya...
Wadau kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata nawasilisha.
Nauza kifaa hiki chenye kusaidia kuongeza uwezo wa kusikia. Hii inatumika zadi kwa watu wenye uwezo hafifu wa kusikia.
Kifaa hiki kidogo ni chepesi sana ukivaapo sikioni, na unakuwa na uwezo wa...
Habari wakuu..
Ninaimani mpo njema mkiimalizia weekend.Ningependa kuchukua muda huu kushare a.b.c juu ya mfumo wa kisasa wa masoko wa digital marketing.Mfumo ambao unaaminika kila mfanyabiashara...
Habari!
Mimi ni kijana mjasiriamali wa kitanzania, ninajishughulisha na uuzaji wa dagaa kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku/mifugo, hivyo natafuta mteja/wateja wa dagaa hao.
Dagaa hao...
Wakuu natumai mko njema kabisa.
Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni...
Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.
Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.
Lakin pia Ubungo kwenda...
NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo
-vyumba 2 vya kulala kimoja máster
-Sebule
-jiko
-publick toilet
NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji...
J & J Power Professionals ni wataalam wa umeme ambao wanatoa huduma kwenye majengo ya Serikali na watu binafsi
Tunahusika na:
-Wiring ( domestic na industrial) installations
- Umeme jua (Solar...
Ninafanya utafiti wa bei ya Ardhi dodoma kwa ujumla wake viwanja ukubwa kati ya square meter 600-1500
Mahitaji eneo la Ilazo na maeneo ya Jirani
kiwanja kilichopimwa na pia skwata iliyo rasimishwa...
AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23...
Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa
Plan 1
2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE
Linux...
KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIMEPEWA ISBN 978-9912-41-699-4 ( MAKTABA YA TAIFA )
Furaha yangu ni kuambiwa kwamba uandishi wangu ni Tiba, Uokozi na Ujenzi wa Taifa, nimepata furaha...
Last Friday nimepata uzoefu kidogo wa soko la nguo za wadada Ilala japo wanunuzi wenzangu na wauzaji walijua kabisa mimi ni mgeni pale. Nilinunua magauni matatu kwa wale wanaonadi kila gauni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.