Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma...
Karibuni wote dispensary inauzwa . Sekei Arusha umbali ni mt 100 sio ile barabara ya lami almashauri ni ile ingine ya ambayo ni rafu road .
Bei ml 250 ,ni heka moja kamilifu napia ina hati zote ...
Karibuni Tuwatengenezee saa za mkononi na za ukutani zenye sura yako
Location Mbeya lakini Tunafanya delivery Nchi nzima.
Mawasiliano +255762363062
Sent from my MX710 using JamiiForums mobile app
Natafuta mtu wa kunishika mkono kwenye kuanza biashara.mtaji wangu ni mdogo tu kama 1,400, 000/=.sichagui biashara kikubwa iwe inaingiza tu ela.
Matapeli kaeni mbali na hii post maana sijatoka...
Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352...
Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8.
Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki...
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.
Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.
Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa...
Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16.
NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake...
Tuna Active Digital smart board kwa ajili ya kufundishia mashuleni wanahabari , mikutano au Semina mbalimbali
WhatsApp 0652565597
Piga simu 0687391033
Ukubwa 75" inch
Android version 8.8
Price...
Viwanja vilivyopimwa kwa makazi vinauzwa...Viko Gezaulole karibu na Islamic beach (Mita 920 toka beach).Bei ni 40,000 kwa square meter na utapatiwa hati yako bila gharama za ziada. Kwa kutembelea...
Habari za leo, Tunauza viwanja vilivyopimwa kuanzia square meter 500 na kuendelea. Viwanja hivi vipo kigamboni Cheka, Mwasonga na Kimbiji.
—Kwa Mwasonga square meter1 ni elf5
—Kwa cheka square...
Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia.
Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi...
Kama una swali lolote kuhusu laptop au smartphone ambalo limekuwa likusibu au kukupa changamoto hasa unaponunua au unapotumia baadhii ya hiv vifaa vya kieletroniki. Kuna watu wengi hupitia hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.