Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari za asubuhi, ninaomba kujua kuhusu vyombo vya mziki Zanzibar pamoja na gharama zake kwa wenyeji.
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Salama Wakuu? Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC...
1 Reactions
0 Replies
517 Views
Haina shida yoyote.. Nicheck whatsap 0654245367 au kawaida 0675721687. Gari ipo Toangoma kwa Kipara. Nipe 4.5 M
1 Reactions
4 Replies
629 Views
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na...
4 Reactions
18 Replies
859 Views
Habari wakuu. Nauza Tank langu KIBOKO LITA ELFU 3. Bado jipya tangu ninunue Lina miezi 7 nahofia kuibiwa maana mlinzi WA site hatulii kazini nahofia hasara mara mbili Bora nipate hasara moja ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu msaada, Nimetokea Iringa huko nimezoea kuona majiko ya maranda lakini Mwanza natafuta siyaoni. Msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
446 Views
Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu...
1 Reactions
4 Replies
574 Views
Kwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo. Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki. 0625511737.
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Habari za muda huu wana Jamiiforums, nisiwachoshe mwenye min pocket wifi ya 4G inayoingia lain ya halotel au lain yoyote ile anicheki tuongee biashara namba 0621 074 991
1 Reactions
6 Replies
863 Views
Habarini wanajamvi.. Kwa mahitaji ya samaki wabichi kutoka maji baridi karibuni sana.. Tunauza kwa bei ya Jumla na rejarereja.. Kg 1 unapata kwa 11,000 na bei inapungua kadri utakavochukua kilo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Clean as new haina shida na mali halali Biashara inafanyika ofisini 180000 tsh
1 Reactions
2 Replies
319 Views
2,500,000 Hp 7 single Hp 10hp Kwa mawasiliano 0689 859167
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Niko Kibamba CCM . Bei 300 Tsh kwa embe moja . Aina dodo na apple Piga: 0678650509
7 Reactions
5 Replies
486 Views
Kwa oda za cake zilizochambuka kisawasawa na radha murua Oda nasi tunapatikana tabata....karibuni sana
1 Reactions
8 Replies
516 Views
HUDUMA ZETU. 1. Tunafunga mfumo wa umeme majumbani na viwandani 2. Tunafanya maboresho na marekebisho ya mifumo ya umeme 3. Tunafunga Backups za Generator na Solar 4. Tunatoa ushauri na kusimamia...
1 Reactions
1 Replies
275 Views
Back
Top Bottom