Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari wakuu, Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
1 Reactions
5 Replies
504 Views
Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13 SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro. SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha...
1 Reactions
7 Replies
435 Views
Je, wewe ni mmiliki wa gari binafsi, bodaboda, bajaji, au una biashara yenye magari mengi? Tracking ya magari sio anasa tena – ni haja! 🔑 Kwa Mmiliki Binafsi: Jua chombo chako kiko wapi 24/7...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Habar. Anayejua Bei ya installation wifi na solor camera naomba anijuze. Anayefahamu jinzi ya kuziagiza nje ya inchi naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Abaya kwa bei ya Januari Tsh 30,000. Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
2 Replies
480 Views
Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Location: Songea Mjini (Mateka) Ukubwa: nusu hekari HATI miliki IPO Umeme, maji Bei ni 6 million Contact: 0758234233 Mbeele .. ,. NYUMa Umbali ni kama dakika 5 tu Toka Songea Mjini(Usafiri
1 Reactions
5 Replies
288 Views
Wakuu ninauza TV tajwa hapo juu ni yangu mwenyewe Vipengele: Mfuniko wa remote haufungi hii niliuziwa hivihivi kwa sababu wakati nanua remote ilikuwa kwenye kimfuko chake so sikugundua hadi...
3 Reactions
11 Replies
938 Views
1. Singapore International Graduate Award (SINGA) https://opportunityportal.info/singapore-government-singa-scholarship/ 2. Deakin University Scholarship...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
0 Reactions
5 Replies
602 Views
Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga &...
2 Reactions
5 Replies
582 Views
naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Nokia yangu naiuza nami nisherekee Mapinduzi kwa wali nazi. Bei 19000/= Tshs,yaan elfu kumi na tisa tu. Inakaa na chaji mpaka unaboeka. Nipo Kigamboni kwa steven hapa. Piga simu moja 0625697394...
0 Reactions
3 Replies
314 Views
TOYOTA IST (DMX) Year 2005 Engine 1NZ Cc 1290 Haina shida yyt Ile Bei 10.9mls
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nauza Toyota Hiace inapiga Daladala Mwanza, bei milioni 10 tu, maongezi yapo. Mawasiliano 0753311398
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Habari mdau, Kama upo Mbeya, Nanenane au Tukuyu inajishughulisha na duka la pembejeo na una mbegu za Mchongoma kwa ajili ya fensi. Tokea chap nikupe dili. Asante.
1 Reactions
0 Replies
488 Views
MIZANI YA KUPIMIA MADINI ZINAPATIKANA TUPO DAR ES SALAAM, tunadeliver bure Dar es Salaam. Bei ya OFA Tshs. 50,000 badala ya Tshs. 60,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam) Pia tunauza kwa bei ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom