Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu.
Naomba niweke...
Apple Iphone X 64 GB
Battery health 99
330,000/=
Face Id[emoji736]
Kioo kina crack ndogo unaweza kutumia hivo hivo au ukabadilisha
Kimara Dar es salaam
0757187238
Habari maboss wangu.
Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa.
Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi.
Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana...
NYUMBA INAUZWA MLIMWA C-MTAA WA WAZIRI MKUU
WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU...
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu mtaa wa mwabasabi. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning na jiko. Bei ni 2m
Mawasiliano...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya...
Habari Wana JF.
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema...
Audio sound card 2 zinauzwa hazijatumika Bongo imported from UK
1 . M_Audio njia mbili haijatumika .Bei 350000
2.¹Focusrite 3rd generation
Bei 450000
Simu 0712652110 Dar
In Tanzania, the Income Tax Act governs the taxation of income, including the filing of tax returns. The specific section that deals with the return of income is Section 91 of the Income Tax Act...
Sisi wa watalaam wa kusuka motor zozote kuanzia 1horse power hadi 1000horse power. Pia tunasuka vinu vya Generator kuanzia 5kva to 2000kva. Offuce ipo Tabata Relin. Tuna wakaribisha company, Taasi...
House For Sale.
Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St.
Features: 1storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and servant's...
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo...
AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika...
Habarini wakuu, natafuta Vijana watatu kwa ajili ya saloon ya kike inayohusiana na dreadlocks
mahali ni Sikonge, Tabora.
Namba ya mawasiliano 0740002654w. Kwa maelekezo zaid piga kwa namba hapo juu.
AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO
1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100
2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO...
Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya...
Habari wakuu,
Tunatengeneza na kuuza furnitures mbalimbali za majumbani na ofisini tunapatikana chang'ombe (keko).
Mawasiliano: 0652898378
Karibuni sana
Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu
Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.