Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote.
Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM
Ukinunua unapata usajili bure...
Make: Mitsubishi
Model: Pajero io
Year: 2000
Capacity: 1830cc
Colour: Pearly White
Full Documents
Full AC
Price: 9.2M
Fuel: Petrol
Call: 0717436363
Sent using Jamii Forums mobile app
House For Sale.
Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St.
Features: 1storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and boycotta.
Size...
Meno Yaliyotoboka yanaweza kusafishwa vizuri na kujazwa Dawa maalumu( kuziba / Restoration) na ukaendelea kuyatumia Kama kawaida pasipo na maumivu zaidi ya Miaka 15
Faida Za Kuziba Meno...
Apartment & nyumba zinazojitegemea za kupanga, viwanja, Fremu za biashara, Mashamba, GODAUNI,
nyumba ZINAZOUZWA Mwanza, OFFICE vyote vinapatikana hapa KWA dalali wetu @ nyumbanzuribeinzuri...
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox
Pia...
Hii ni dodoma tu na wilaya zake zote tuna tambua tabu ya upatikanaji wa maji dodoma, ivyo Kwa mahitaji ya:
-kuchimba kisima kirefu au kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo...
Habari za jioni humu ndani,
mimi ni kijana umri miaka 24 graduate katika chuo kimoja wapo hapa mjini Dar es salaam.
Katika mihangaiko ya hapa na pale nimepata kibarua maeneo ya mlimani city sasa...
Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme.
Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic...
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO
UTANGULIZI
Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
Poleni na Majukumu wanajukwaa
Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua.
Chuma
Dongo
Bati
Aluminum
Copper
Brass
Cast
Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji.
Nanunua Motor, Friji, AC...
Siri Ya Mafanikio kwa Wakulima wa Parachichi Njombe.
Mkoa wa Njombe unasifika kwa Kilimo Cha Miti na Biashara ya Mbao kwa Ujumla. Kwa kipindi Cha hivi karibuni wakulima Mkoani Njombe wameingia...
Habari.
Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani.
Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza...
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote
Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.