2240 SQM
Title deed: 99 Years
Alongside Ali Hassan Mwinyi Road
Topographical map available for serious buyers
Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel.
Asking price: $2 Million...
Pc yangu ile nimepunguza bei maana inaonekana bei ya mwanzo ilikua mkasi sana.
Hp probook
Proccessor Intel-pentium inside (7thgeneration)
Ram 8Gb
HDD 500Gb
Batrery 4hrs
Price 250k
0628116693 Dar...
Habari za leo ndugu zangu najua mko poa, naenda kweny dhumuni langu kama kichwa cha uzi kinavojieleza, nauza kabati langu la mninga, nimelinunua lina mwaka mmoja tu ni 6×5 lina milango mitatu juu...
Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama;
Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu?
Ni elimu ya...
İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF.
Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa...
Kulingana na takwimu za mwaka 2021, Zaidi ya 60% ya biashara mpya hufa ndani ya mwaka wa kwanza kwasababu tofauti tofauti. Ili biashara yako isiwe miongonni mwa biashara hizo ndio maana unahitahi...
Acha nifute tu mod mmekuwa wajinga mnawekanuzi kwenye matangazo ya nini nani kawaambia nafanya biashara
Moderator futeni huu Uzi mimi naangaika kuandika kwenye jukwaa nalotaka manaepeta kwenye...
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli...
Habari wana JF
Solar power system yenye uwezo wa kuwasha nyumba nzima inauzwa TShs7.5M. Maongezi yapo
Specifications 5kw inverter, 10kw battery and 2,000watts solar panel zenye ukubwa sawa na...
Utangulizi:
Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari...
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT.
Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC
Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji...
Wapendwa week end inaendaje?
Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.