Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

wadau, Nina hitaji zile cover za kufunika engine Kwa chini , pia tire guard za kuzuia tope. Mwenye nazo tuwasiliane 0655 944. 268 Shukrani sana
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Salamu kwenu wanajukwaa. Huu ni uzi mahususi kwa kile nachokifanya nitakuwa nikishare nanyi kazi nazozifanya kwa kadri nitakavyoweza lengo kuu ni kutoa elimu na kupata connection mpya za kazi...
6 Reactions
12 Replies
687 Views
Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye...
3 Reactions
5 Replies
631 Views
Scaffolding and Formworks Rental Solutions Call us today for free quote 0719 251 251 / 0736 251 251 Josam House, Mikocheni Light industrial Area, Plot 16 Cocacola Rd Dar es salaam / Tanzania
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Nauza smart watch aina ya D20 Rangi: Nyeusi Unaiunganisha na Smartphone yako na inafanya mambo yafuatayo:- 1. Inasaidia kupima Bloodpressure 2. Inasaidia kuhesabu hatua unazotembea 3...
1 Reactions
3 Replies
602 Views
Gari zinauzwa bei kitonga na mazungumzo yapo Harrier Lexus 12,000,000/=,Benz na Crown Majester Blue 9,000,000/= kila moja na White Majester 8,000,000/= Karibu tuzungumze 0777949284
0 Reactions
2 Replies
799 Views
[emoji117]INATOA COPY [emoji117]INAPRINT [emoji117]INASCANN [emoji117]INAGEUZA [emoji117]SPEED 15 PAGES KWA DAKIKA [emoji117]MAXIMUM SIZE A4 [emoji117]INA FEEDER [emoji117]TRAY 1+BYPASS *INA...
1 Reactions
3 Replies
302 Views
Wakuu, Nasikitika kutangaza kufungwa kwa Jukwaa la Dini. Malalamiko dhidi ya jukwaa hili yamekuwa mengi na moderators hawataweza kuvumilia kero zinazotokana na malalamiko haya. Ukweli ni kwamba...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika.... Mawasiliano +255715797533 +255766047815
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari Wadau wa jukwaa la ujasiriamali. Nina shamba la hekari 20 nataka kulilima kwa kilimo cha umwagiliaji ambao tayari nimeshachimba kisima. Sasa natafuta pampu nzuri yenye ubora mzuri wa...
2 Reactions
41 Replies
21K Views
Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil. Tafadhali madalali habari ya...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana...
0 Reactions
8 Replies
495 Views
Habari , ✨✨✨✨✨ Nawaleteeeni fremu ya kupangisha mahususi kwa biashara yoyote ile mfano saluni ya kike , mgahawa wa chakula , duka , mini-market au any designed business Fremu ni kubwa kindani na...
0 Reactions
18 Replies
848 Views
Wakuu katika kucheki kwangu fulsa mtandaoni nikakutana na hiyo kitu tajwa hapo juu, as a Professional painting artist, nilipendezwa Sana na kazi za Sanaa zinazofanywa ndani yake, ikapelekea niwe...
4 Reactions
35 Replies
12K Views
✓Watumiaji wengi wamejikuta wakiingia kwenye matatizo makubwa kwenye gari zao kwa kusababisha wao wenyewe bila kujua...!!! ✓Kivipi? Gari nyingi za kisasa Huwa zinatoa taarifa ya changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Mabosi kwema? Humu wengi wenu najua mna nyumba mnataka kufanyia finishing ila mna maswali juu ya garama za kwanzia skimming hadi rangi. Kwa kifupi nianze kwa wale wa chumba kimoja ambao hawamudu...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya...
2 Reactions
7 Replies
607 Views
MUHIMU: UPDATE MABADILIKO YA VIWANGO VYA KODI NA MENGINEYO KUANZIA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 Katika makala hii ya kodi, sehemu ya pili kuna mabadiliko ya viwango vya kodi ambavyo vimerekebishwa...
21 Reactions
106 Replies
26K Views
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000 Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa...
0 Reactions
4 Replies
597 Views
Back
Top Bottom