Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo)
Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu
Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado...
Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda...
Wachu group of companies inatoa usafiri wa gari dogo kukuchukua nyumbani kwako mpaka kazini na kukurudisha.
Magari yetu yapo katika hali nzuri kabisa na yamesajiliwa kibiashara; Aina ya magari...
Kwanini uteseke kushona nguo zilizochanika/au kufumuka na sindano ya mkono? Sasa tumia mashine hii popote pale .
yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona...
3000mAh Battery life (24 hours)
Up to 10 devices
200metres
Can also be flashed to be used for ALL NETWORKS (Not recommended)
In a mint Condition
.
Price: TZS. 70,000/=
.
Call: 0717 650800
Habari za mida wana jamvi
asee ninatafuta au kuulizia juu ya wauzaji wa pool tables used na mpya kwa hapa mkoa wa mwanza mwenye no zao au anitajie mitaa ipi ntawapata hawa raia.
Habari,
Nina dumu 200 za asali mbichi, Lita 20 natafuta wateja ziko Tabora, nzuri sana nyuki wakubwa, imevunwa mwaka Jana,kuhusu bei Lita 20 nauza 130,000 Kwa Kila dumu.
Kwa anayependa kufanya biashara ya platform za AI hizi za Generative (kutengeneza Picha na maandishi)
Nina platform ambayo nilitengeneza na siku itoa public... ninauza Kwa interested buyer...
Habari
Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19
Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo
Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma...
Habari wana JF...natafuta kioo(Display) cha SAMSUNG A5 ya Mwaka 2017...Kama kuna mtu ana simu hiyo ambayo imekufa mashine aniuzie kioo. NASHKURU
Sent using Jamii Forums mobile app
TREKKING ADVENTURE ACROSS MOUNT KILIMANJARO AND MOUNT MERU
Welcome to African Yellowstone Safari, where we transform your travel dreams into extraordinary, once-in-a-lifetime adventures. As a...
Habari wadau natafuta Generator Used from Dubai/New Brand iwe Honda EG 1000, iwe katika condition nzuri Niweze kuitumia kwenye kibanda umiza changu. Kama Hautajali Tafadhali nicheck WhatsApp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.