Habari wanajamvi....?...nachukua fursa hii kuwakaribisha wateja wote ambao watakuwa na uhitaji wa kufanyiwa repair furnitures zao,ikiwemo sofa set/single,vitanda,makabati na vinginevyo vinavyohusu...
Habari,
Jipatie bidhaa mpya mabegi ya mgongoni na vifaa vyote vya stationery kwa bei ya jumla na rejareja
LAPTOP SLEEVE-hili ni ambalo lina sehemu ya kuhifadhia laptop yako,utapata head phone &...
Rhond's company limited, we're car renting company with best services . All types of cars are available (Private)
Some of rental purposes include:
1.Tours
2.Weddings
3.Sendoffs
4.Funerals transfer...
Wakuu habari,
Nauza ITEL A24
SPECS
RAM 1GB
ROM 16GB
SCREEN SIZE 5"
BATTERY (Removable) - 2400MAH
Ni simu ya promotion ya tigo, line 1 ni tigo & line 2 laini yoyote inakubali
Ni mpya kabisa...
Hapa Ndio Sehemu Pekee Ambapo Unapaswa Kupitia Kabla Hujaanza Kilimo Au Uzalishaji. Kwa Wakulima wa mazao pamoja na wafugaji unapaswa kufahamu kile unachotaka kuzalisha kwaajili ya biashara Yako...
Shalom! Jana nilipata wasaa wa kuzindua kitabu changu cha mfumo wa pdf, kinachoitwa "NJIA PANDA YA USAWA WA KIJINSIA"; kuandika kitabu hiki kumetokana na mguso niliopokea kutoka kwa namna jamii...
Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za...
Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote.
Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza...
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..
Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati...
Habari ndugu wana jamhuri ya muungano wa watanzania, nauza moja kati ya viwanja hivi.
1. Ukubwa wa ft 50X50 vipo 3, kimoja nauza
Kuna cha sh, 3,600,000 kimoja na 2,500,000 viwili
2. Ukubwa wa...
Natafuta Standing Fan (Fan ya kusimama yenyewe) Iliyotumika. Iwe Fan imara na siyo ya kichina. Ikiwa ni ya India, Uturuki etc ingependeza zaidi.
Iwe na ukubwa size ya kati. Napatikana Boko...
Habari nauza PAGALE nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye kufunga rinta ya juu Bado kozi za juu yu kwaajili ya kuezeka
Location:kibaha loliondo, karibu na pangani hospital.
- vyumba vinne...
Dunia inarahisisha mambo!
Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa.
Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.