Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.
Nanunua mitungi yote...
[emoji95]VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO[emoji95]
UMBALI
[emoji3502]Km 22.6 kutoka Ferry.
[emoji3502]Km 24 kutoka kigambon Darajani
[emoji3502]Kutoka Kibada Center ni kilomita 15 hadi site
SIFA...
MABALO YA MTUMBA YA CAM STORE CREAM NA GRADE A TU 0712163738/0762212623
1. Balo la magauni marefu Shifonie 750000 Dubai,850000 Canada PC 140+yote cream
2. Balo la magauni mix mafupi 580000 China...
Ipo Mbweni Beach.
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, store, sebure
haijakamilika, imeezekwa kwa vigae, madirisha ya mbao + nondo yamepachikwa.
Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa sqm 800...
NYUMBA INAUZWA
IPO - DAR-ES-SALAAM-Tz
WILAYA - KINONDONI
MAHALI - MBWENI UBUNGO
___
BEI - MIL 220 maongezi yapo
UKUBWA KIWANJA - SQM 850
UMILIKI - INA HATI SAFI
YENYE
____
Vyumba vitatu vyote...
Fahamu Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu. Kwenye...
MARK X NEW MODEL
ON SALE (DKY)
Price 14.8MLS(FIXED)
MARK X NEW MODEL
KALI SANA
Color SILVER
Engine 2490
Rim sports
New [emoji682] tyre
Low mileage
New tyre
Clean sana
EXCHANGE ALLOWED...
Wakuu nahitaji dikoda ya Azam kwa anayeuza.
Inaweza kuwa dikoda tupu bila dish au dikoda na dish.
Kama unayo njoo pm au nichek kwa namba 0759 432 654 calls/sms au nicheki kwa watssap 0737 816...
Hello habari ya leo wadau ,
Mimi naishi Dar Es Salaam Kimara Temboni na sasa nahama kikazi kwenda mkoa mwingine
Nauza vyombo vyote vya ndani ambapo katika vyombo hivyo nna TV Inch 32 kampuni ya...
Ndugu mwanaJamiiForum,
Kaka ww unaplan ya kufungua saloon nauza saloon complete..
1. Kiti cha kunyolea
2. Kiti cha kukalia watu watatu
3. Vioo full set
4. Mashine moja ya kunyolea
5. Mlango wa...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza wakuu,ni wapi naweza kupata kiti kizuri kwa ajili ya kupumzikia ofisini kwangu wakati nikisubiri wateja?
Note; naitaji kiti kizuri Cha kifahari Cha kuanzia...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya Ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi 4 imebaki, display board za rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.