Waungwana watumiaji wa asali kwa afya, leo napenda kutoa mada ya kuitambua asali halisi au mbichi.
Zipo njia nyingi tena nyingine unaweza kuwa unazijua. Asali halisi ni nzuri kutumia kama dawa ya...
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora
Asali yetu ni original kabisa haijachakachuliwa hata kidogo
Kuthibitisha hilo unaruhusiwa kutest mpaka ukijiridhishe ndipo unafanya malipo
Kwawale ambao...
Habari zenu wapendwa wanajamii forums!
Tunayo furaha kuwatangazia kwamba tuna diaries mpya za mwaka 2024,Tunaamini kwamba diaries hizi zitakuwa mwongozo mzuri katika maisha yako ya kila siku na...
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mwenye kiwanja kuanzia Ubungo hadi Mbezi Louis au kuanzia Mbezi Beach hadi Bunju B au kuanzia Mbezi Beach hadi Mbezi Louis kupitia Goba aweke taarifa hapa...
Kwakweli naombeni matapeli madalali msinipigie ,mnasema mnauza mashamba natafuta mteja tunaanza kuzunguka tu kama pia.
Tuelewane.
Hii namba ni kwa ajili ya wateja sio mniharibie kazi .
Ila kama...
Masaihost
WE PROFESSIONAL WEB HOSTING SOLUTION FOR ANY BUSINESS NEEDS. For Only TZS 75,000
*Features
Domain Name (.co.tz)
Control Panel
40GB storage
40GB Data Traffic
50 Email Accounts
PHP &...
Uzoefu wangu.
Kituo cha chekechea (daycare center) kipo chini ya ofisi ya wilaya (afisa maendeleo). Hivyo taratibu zote za kufungua zinaishia hapo. Wakati shule ya chekechea (nursery school) ipo...
Nauza taa za solar ninazo Sita tu Bei ni elf50 kwa kila moja nyote mnakaribishwa unaweza kuweka nje ya fensi ndani au kwenye viwanja vya nyumbani ni sensor
Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
Zipo changamoto nyingi za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Leo ninakushirikisha baadhi ya changamoto ambazo nimeziona zinaweza kukuzuia kutoka hapo ulipo kwenda hatua nyingine ya mafanikio...
Mwaka 2023 ulianza kama utani siku zikazidi kwenda nusu mwaka tukaumaliza watu walizidi kujiuliza mengi "miezi sita imeishaje au mwaka ni mfupi? lakini yote kwa yote ndiyo hali halisi huwezi zuia...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Nyau anauzwa (Felis catus) elfu kumi na tisa 19,000/= (negotiable)
Location: Kigamboni(Kichangani)
Piga: 0759448927
Kama unahitaji rangi tofauti nicheki WhatsApp: 0620523897
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.