Habari mkuu,
Naomba nikujulishe moja ya sababu ya biashara nyingi kukwama.
Kiukweli yapo mengi yanayochangia kutokuendelea kwa biashara nyingi na majawapo Ni Mfumo bora na Mfumo sahihi.
Vile...
Habari wadau, kwenye ukurasa huu tutakuwa tukikuletea magari yanayouzwa yaliyotumika hapa nchini na nje ya nchi. Kama pia una gari unauza unaweza kuwasiliana nasi kwa namba;
[emoji736]Tunatoa...
Ipo sokoni bei 100k (mazungumzo yapo) ni used ila still kama mpya.. kila kitu chake kipo router yenyewe, power cable pamoja na ethernet cable.
Location: Mwanza Buzuruga.
Mawasiliano: 0767 744 254
Nyumba ipo kigamboni Mwembe mtengu inauzwa na mwenye nyumba.
Master 2
Living room 2
Kitchen 1
Public toilet 1
Dinning 1
Seating 1
Ukubwa eneo 400sqm(20*20)
Bei 38Mil
MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA...
Habari wakuu,
Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk.
Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane...
Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa...
Habari wanajamii...
Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.
Eneo ni Bar maarufu iliyopo...
Ilinunuliwa February, 2019, mwezi September, 2019 ikapata ajali. Tangu ipate ajali hakuna matengenezo yoyote yaliyofanyika, kwa muda wote huo ipo ndani.
Ina nyaraka halali.
Inapatikana Dsm.
Njoo...
Price/Bei 16.8mls
Cont: 0719223839
Bmw 3 Series M sport[emoji259] EDM
Year 2011-2012 (MWAKA WA JUU[emoji102])
Cc 1990
Low Km 60000
Full Options[emoji736]
Sports & New Tyres
Clean Condition
Navunja...
Price/Bei 15.7mls
Cont: 0756553292
Bmw 3 Series ECY
Year 2008
Cc 1990
Low Km 99000
Full Options[emoji736]
Sports & New Tyres
Clean Condition
Navunja Na Gari yoyote°°
Utangulizi.
Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei...
Karibu tukutengenezee 2d&3d logo kwa ajili ya kikundi,ofisi,kampuni,taasisi,brand au matumizi yako binafsi kwa tsh 10000 tu
Hii ni offer kuelekea msimu huu wa sikukuu
Kuanzia tar 1 january bei...
Shamba la kulima mpunga linapangishwa, Ekari 60. Liko kijiji Cha Nyeregete, Kitongoji cha Magwalisi. Lina miundombinu mizuri ya kuingiza na kutoa maji shambani. Shamba lina uhakika wa maji. Liko...
Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini eneo la Nala CHINANGALI, block EE, tazama kwenye picha kiwanja namba 384 SQM 3954, ni hatua chache toka barabara kuu ya kwenda singida, kiwanja kina...
Kiwanja kikubwa Cha makazi kiko Maeneo ya shirimatunda- moshi mjini
Mwana apolo amekwama. Biashara zake za madini haziendi
Kiwanja kimezungushiwa fensi ya senyenge kiko karibu na shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.