Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Karibu vikindu pwani wilaya ya mkuranga mtaa wa malela kisayan ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
NYUMBA inapatikana MOROGORO mjini kwa wakazi wa Morogoro ambao mpo karibu naomba mtanisaidia kufika eneo nyumba ilipo. Sijafanikiwa kupata PICHA kwasababu nipo Mkoa Tofauti (Dar) na taarifa hizi...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu hisense TV nchi 50 inauzwa Smart TV Ultra HD Inapatikana kijitonyama,DSM TV ina miezi 11, haijawahi sumbua Inauzwa tsh 550,000 Mwenye uhitaji karibu PM tuyajenge
4 Reactions
25 Replies
2K Views
mafuta ya alizeti yanauzwa dumu 250 Location Dodoma price @ 80,000 pamoja na dumu lake. Mawasiliano: 0768782648
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Habarini ndugu zangu! Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, natafuta mabati yaliyotumika. Kwa mtu yeyote mwenye nayo naomba tufanye mawasiliano nahitaji kama mabati 50. Pia natafuta ceiling...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Habari wana jamvi, Nahitaji kufahamu wapi naweza kupata fundi mwenye ujuzi wa kutengeneza zip za sanduku. Au kuweka zip mpya kwenye sanduku kubwa. Kama kuna mwenye namba au maelekezo nitashkuru...
1 Reactions
9 Replies
567 Views
Kanuni Na. 04. Kuwa Na Fokasi. Fokasi ni kuchagua mtaa mmoja na kuwaachia mitaa mingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kujenga timu bora sana kwenye mkoa mmoja au wilaya moja na kuacha...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili...
0 Reactions
6 Replies
924 Views
Habari waungwana , nipo hanitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri Nahitaji. Pc 50 Nipo moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329
2 Reactions
1 Replies
539 Views
Naitwa Auson frank ni mkulima wa zao la vanilla ambalo tunafanyia kilimo mkoa wa Bukoba-Kagera ambapo tunazalisha zaidi ya tani 5 ya vanilla. Kwa Dar es salaam tunapatikana magomeni kagera kwa...
3 Reactions
8 Replies
692 Views
Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko. Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani...
2 Reactions
2 Replies
267 Views
Habar wakuu Je ww una mtoto aliyemaliza darasa la Saba 2023 Je mtoto wako wa Kike au wakiume amepata pass au grade C na kuendelea Je ungependa mwanao asomo shule za HOSTEL za SEREKALI zilipo...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza jumla ndani ya box viko kumi... 250,000/= Reja reja nauza kimoja 29,000/= Alafu tambueni, kuna vitochi namba 1 na namba 2 vinafanana kila kitu ila sasa hivyo namba 2 utatumia wiki moja...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Septemba 03, 2023, hii ilikuwa ni tarehe ambayo nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii ndani ya hifadhi ya taifa Arusha inayopatikana mkoa wa Arusha. Hifadhi ambayo Mfalme Charles wa III na malkia...
0 Reactions
5 Replies
675 Views
Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80. Nipo...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Tunauza mashine za kisasa za kupandia mbegu shambani. Mashine hizi zinauwezo wa kupanda mbegu pamoja na mbolea kwa mara moja. ■Bei 350,000Tsh tu. ■Call 0656 446 991 0747 608 608 Dsm Tegeta kwa...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
KINUKAMORI MARANGU, MOSHI KILIMANJARO Unapozungumzia maeneo yenye mandhari mazuri kwa ajili ya utalii ndani ya mkoa wa Kilimanjaro basi wilaya ya Moshi imebarikiwa sana. Maporomoko ya maji...
1 Reactions
4 Replies
709 Views
Back
Top Bottom