CAM STORE - MITUPIO- MABARO YA MTUMBA
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba tumeanza rasmi biashara za nguo na viatu vya mitumba jumla na rejareja, tunatuma mikoani
Mawasiliano
0762212623...
Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB.
Computer iko very perfect nzuri inavutia Mayai classic.
Screen Touch yenye ukubwa wa inch 27
RAM...
MWALIMU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE - HUDUMA YA MANA - SEMINA, MOSHI, KILIMANJARO TAREHE 16 MPAKA TAREHE 20 FEBRUARI 2022.
Bwana Yesu Asifiwe!
HUDUMA YA MANA - MANA MINISTRY - Mwalimu...
Nahtaji mashina ya ps4 used, ikiwa mpya pia tutazungumza kama bei itakua rafiki kwangu.
Kwa aliyenayo nje ya Mwanza, nalipa baada ya kupokea machine pia isiwe na changamoto yoyote kuanzia pad...
Habari wadau.
Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external.
1. Nyumba...
“Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.”
Charles Brown
Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na...
Nauza gari yangu binafsi ninayoitumia kila siku ,gari ni nzima haina shida yoyote Kama inavyoonekana kwenye picha, karibu ukihitaji kukagua nipigie 0685587887
Wadau nawakaribisha mashine za kukamua na kuchuja juisi ya miwa
Ni imara na bora na zinatumia umeme mdogo sana
Tunaziuza kwa 1350000 tu ewe mjasiriamali ongeza kipato chako kwa hii mashine...
Hello wana jamvi unahitaji mashine ya kutengeneza ice lolly wengi mtaani tumezoea tunaziita lambalamba utazipata kwetu na tunakupa ushauri bureee,
Hizi mashine ni nzuri sana hasa hiki kipindi cha...
Lile kusanyiko Kubwa la aina yake lililowahi kutokea nchini mwanzoni mwa utawala wa B.W. Mkapa June 1996 (miaka 20 iliyopita) leo lipo mjini Mwanza ambapo mwinjilisti wa kimataifa R. Bonnke...
ONSALE[emoji593][emoji593]
2018 FORD RANGER
Engine Capacity Cc: 3200
Mileage: 70,000
Model Number: 3.2L
Fuel: DIESEL
Colour : Grey
SEAT CAPACITY 6
Music systems
Dvd player
Rim sport
Good...
Dell vostro i3 3400 kwa 1.2M
Lipia kwa Installment, 25% kwa mara ya kwanza kiasi kinacho baki utalipia ndani ya miezi 3
Maelezo zaidi, picha manunuzi click link hapa...
Habari wakuu,
Natafuta saluni ya kiume ya kununua hapa Dar es salaam.Au kama kuna mtu mwenye frem inayofaa kwa biashara ya saloon anijuze.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu
Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa...
Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck
Bei full set ni Tsh.135,000
Kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000
Kinaonesha League za
-UEFA
-UEROPA
-PRIMER LEAGUE
-BUNDASLIGA
-SPAIN...
Nahitaji wadada wawili kwa ajili ya kuhudumia kwenye mgahawa na kusaidia kazi ndogo ndogo
Awe ana uzoefu na biashara ya mgahawa anaweza kuserve, usafi.
Akiwa anakaa mkoa wa Pwani Kibaha ts...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.