Kuna mzee anauza shamba la mitiki lenye ukubwa wa hekali 7. Mitiki imekuwa imefikia ukubwa kama nguzo ya umeme kwa unene. Mzee anahitaji mil 22 tu, umri umemtupa mkono anaona ni bora ale...
Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla.
kilo moja nauza shilingi 2500.
Mzigo upo tani 2 na nusu asante.
Tuwasiliane kwa namba ya simu
+255789740368
Habari wana jf nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 50 lipo Dodoma wilaya Chemba kijiji cha Majengo kata ya Parang. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma Arusha ni km16 bei ni sh.250000/= kila ekari...
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
*ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula...
Habari za wakati huu;
Je wewe ni Mmiliki wa Bar au Restaurant na Maeneo mengine ya Burudani?Je ungependa kuwa World Class Service Provider na kufikia Wateja wengi zaidi huku ukiongeza Ushindani...
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari.
Size ni 3x6
Mbao ni Pine na Cyprus
Bei 100,000 na godoro lake.
Location: Dar es Salaam
Waweza nipigia...
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.
Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo...
Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki.
Kwa kutambua hilo...
Habari ninauza simu ambayo inaitwa jina tajwa hapo juu ,
Specifications:
1..Internal memory 128GB , 4GB RAM,
UFS 2.2 - 128GB
2..MAIN CAMERA
Quad 48 MP, f/1.8, 26mm (wide)...
Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu,
Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo...
Shalom! Jana nilipata wasaa wa kuzindua kitabu changu cha mfumo wa pdf, kinachoitwa "NJIA PANDA YA USAWA WA KIJINSIA"; kuandika kitabu hiki kumetokana na mguso niliopokea kutoka kwa namna jamii...
Bonjour
Natafuta mayai ya kisasa, Kwa bei ya jumla, ingependeza nipate direct kutoka Kwa mfugaji ..
Yawe na sifa ya ukubwa na kiini Cha njano
Uwe dar es salaam
0742596431
Habari wana JF Members,
Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage.
Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8...
Wakuu habari, inahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model, iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Audit and assurance services are crucial for businesses in ensuring financial transparency, compliance with regulations, and maintaining stakeholders' confidence. Hellen & Jeff Consulting Group is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.