Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia...
2 Reactions
2 Replies
464 Views
Nina nissan caravan yangu. Super roof. Sina muda wa kusimamia kwa hapa dar. Nahitaji wa kuingia mkataba awe na shughuli binafs kama shule au supllies kwa humu humu jijini. Dereva ni wake...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Chumba kimoja na sebule Ukubwa wa kiwanja 17 kwa 15 mita Eneo ni Mvuti kutoka stend mpaka kwenye nyumba ni dakika 5-7 ukitembea kwa mguu. Bei 3.5 milion
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Bei ya one coin moja ni shilingi za kitanzania 31,000/, ila nimeamua kuuza kwa bei ya offer 25,000/. Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa simu no 0657 22 44 25. Coin ziko 1000, (25,000 * 1000)...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa, kina msingi wa nyumba. Kiromo shule, Bagamoyo. Kinaukubwa wa miguu 20 kwa 15. Gharama 8,000,000/=. Piga 0762 658788
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Habarini, Mwenye nazo tuwasiliane kwa pm
1 Reactions
4 Replies
261 Views
Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand Hatua 28 kwa 20 Bei Tsh 1,500,000...
0 Reactions
7 Replies
594 Views
FORWARDED "12-11-2016 05:00hours Habari za muda huu?,nimeibiwa gari muda huu Kibaha ndio tupo njiani tunatafuta gari namba T771 DAG. IST.Tafadhali naomba unisambazie msg hii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza Air cimpressor, lita 50 karibia mpya toka UK.Ni nzuri kwa upakaji rangi kwenye magari bei tsh 600000. Muhitaji piga simu 0712652110 Dar.
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa...
2 Reactions
4 Replies
845 Views
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa...
2 Reactions
129 Replies
10K Views
Nyumba ipo KIGAMBONI Mwembe mtengu inauzwa. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 50Mil Maongezi yapo. Mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Habari za wakati huu; Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
✓Unawezekana gari yako imeanza kutumia mafuta mengi kuliko ilivyokia awali ✓Au inakosa nguvu kwa namna yoyote Ile na haujui nini cha kufanya ✓Tafadhali usisite kutupigia simu ili kupata maoni...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Wadau habari, Karibuni kwa biashara Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto . Tunapatikana maeneo ya makumbusho...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari ya Mfungo ndugu zangu Wakristo na Waislamu. Nina tani zaidi ya 10,000 za zao la Soya natafuta mteja wa 'Bulk' yaani mzigo mkubwa. Mzigo upo Lusaka, Zambia. Nimeambatanisha sifa zake...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Leo nataka tuangalie mambo machache ambayo kila mwenye gari anaweza kuyafanya mwenyewe(DIY) ili kuhakikisha gari yake inatumia mafuta vizuri na hivyo kumpunguzia gharama. Yafuatayo...
18 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
1 Reactions
5 Replies
514 Views
Habari zenu wanaJamiiForums, Ninahitaji mkopo kwenye microfinance institution au personal kwa masharti nafuu na riba ndogo nataka kuboost biashara yangu. Kama kuna mtu anafahamu taasisi hiyo au...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunza Nyayo na Taraji Coldpress Virgin Coconut Oil Kipindi hiki cha mvua maeneo mengi yanatuamisha maji.. Ili kupita eneo moja kwenda lingine inakulazimu kukanyaga maji.. Hivyo ufanya miguu yako...
1 Reactions
5 Replies
414 Views
Back
Top Bottom