Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo...
Habari ,ninauza piki piki yangu aina ya boxer 150 namba c,
Piki ipo ktk hali nzuli inatembelea na taili ya nyuma bado mpya kabisaaa.
Piki piki ipo dar es salaam , chanika.
Bei ni sh 580000...
Ni tofali zinazokatwa kwenye Mwamba/mawe zina mwonekano wa kipekee, ngumu /imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida unaweza usipige plasta na ukahamia na ukaenjoy kuishi hapo.
Habari wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.
👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa...
Wana Jamii,
Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640.
Bei zetu;
50pcs : 190,000/-
100pcs...
Kama unaitaji system za kila haina karibu sana, utatengenezewa system kwa bei nafuu sana.
School management system
Online examination system
HR management system
Collage management system...
TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC XBOX GAMES 0710701361
FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC INAPATIKANA🔥🔥🔥
INAHITAJI RAM 4GB NA PROCESSOR KUANZIA 2...GHZ
PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA 🔥🔥🔥...
Walio dukani au wenye connection naombeni maelekezo Duka linalokopesh PC.
Napenda kujua utaratbu wake. Au mwenye kuweza kuniwekea udhamini.
Na vigezo vyote vya kujidhamini pia kwa wale...
Rafiki yangu mpendwa,
Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili.
Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA...
kwa wanaoitaji dipstick za urine nipigie kwa namba 0778422150 nipo zanzibar kijichi bei ni sh.16000 pia machine ya FBP three parts kwa Milion 6 ipo kwa anaeitaji
Habari wanaJF,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika...
Ina vyumba 2 vikubwa self,
Ina maji ndani
Umeme
-Ukuta
-Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga,
-NYumba ni mpya kabisa.
-Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni...
Habari gani wana jamvi wote humu.
Nimekuwa nikiulizwa juu ya Teknolojia hizi za kiulinzi katika maeneo yetu ya biashara na makazi. Nimekuja Jamvini kama ilivyokawaida ya Jamvi letu moja ya sifa...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kupata fundi wa fanicha za ndani na awe na utundu wa ubunifu wa vitu mbalimbali vya ndani (fanicha).
Ofisi inauza vitu used pamoja na...
Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku.
Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote
Wapo ndama bora Aina zote...
Karibuni wateja tunauza viwanja na heka kwa bei nzuri.
Maeneo nimeshayataja hapo juu.
Nimazuri kwa ujenzi na shughuli zingine . Kwa kiteto kuna heka 10 zilizoshikana kila moja inauzwa laki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.