Kampuni ya godson poultry solution moshi kwa kushirikiana na engonho farmer ya Kenya tunawaletea VIFARANGA bora wa kienyeji aina ya :-
KENBRO:-
Hii inatoka Kenya ni VIFARANGA wanaoweza...
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel...
Kama unahitaji maziwa mtindi au fresh na cheese kwa jumla au reja reja karibu PROFET, tupo Tabata chama nyuma ya DAWASCO.
Huduma ya derivery ipo kwa wateja wakubwa na kwa wateja wa kawaida...
@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the...
Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20
Bei:- million 25 maongezi yapo
Call/WhatsApp:-...
NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI.
HUDUMA ZA ZIADA
📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia...
Mvua zishaanza hizi, jipatie mkaa mzito na mgumu kwa bei nzuri na rahisi
gunia Tsh. 50,000/=
Free delivery kwa wakazi wa Temeke.
Mawasiliano: 0766252508
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"
Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa...
ANVIZ T5 Pro
- Ni mpya
- Unaweza tumia kama Access Control na Time/Attendance system
- Inatumia Fingerprint na MFID Cards
- TCP/IP, RS485 na Mini USB Port
Bei ni 350,000/=
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
Samahani wapendwaa natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote Bf1 na Bf2, hivyoo kwa mtu yoyote anaejua connection na watu wanaoweza kununua naomba aniunganishe nao, awali wanunuzi wangu...
Habari,
Kama kichwaa kinavo jielewaa hapo juu, natafuta soko la majani ya chai kwa grade zote yaan Bf1 ubora wa kwanzaa na Bf2 ubora wa pili, majani yapo ya kutoshaa, hivyo naomba mwenye...
Small deep freezer, used needed.
Hello wakuu nahitaji deep freezer Kadogoo kwa ajili ya kuwekea chakula cha mbwa wangu , sio mpya wakuu , Itakuwa vizuri sana kama kako ARUSHA , bei iwe rafiki ...
Tunatoa Huduma za kitaalamu za Electrical, Electronics na Smart Security system
HUDUMA ZETU
1.kuunda kifaa au kutengeneza mchoro wa kifaa cha kielectronics kulingana na wazo(idea) ya mteja,kwa...
Ofa pata madirisha na milango ya Aluminium kwa bei zifuatazo
Dirisha la futi 5x5 ni 260,000
Dirisha la futi 5x6 ni 270,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.