Nauza External Hard Drive aina ya Transcend yenye ukubwa wa GB 1000
Haina changamoto ya aina yoyote na ukiinunua ndio utaamini nilikua nasema kweli au natania.
MREJESHO
Imeshauzwa
Kwa mahitaji ya kutaka kujua gharama halisi utakazotumia katika kukamilisha ujenzi wa jengo lako (BOQ).
Natoa huduma ya kufanya mchanganuao wa idadi halisi ya materials utakazotumia mpaka...
Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam
Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
Natafuta nyumba ya NHC maeneo ya Upanga au posta mwenye uwelewa na hatua za kufata ili uweze kupata anijuze Tafadhali na bei pia ni shilingapi kupanga.
Lige Smart Watch
Genuine Assured[emoji736]
answer Calls & Make Calls and Msg[emoji736]
Get an extra Strap
Measure[emoji736]
7 days with Charge [emoji736] Steps, Calories, Steps, Weather [emoji736]...
Nimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste),
Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s
GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95]
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km...
Based on Dar es salaam & Zanzibar.
Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services.
For first & Reliable Services call us First...
Kwa mwenye uhitaji wa gari hii hapa,
Aina ya gari: Passo,
Piston 3,
CC 990
Gari ipo Dar es salaam, ukitaka kuiona nipigie kwa namba 0686866276
Nimeitumia kwa bolt na Uber kuanzia mwezi July...
Habari wana jamvi, natafuta soko la pumba za mahindi.
Kwa sasa nina jumla ya gunia 1,000 zenye ujazo wa debe saba kila moja.
Mahali: Kasulu Kigoma
Mawasiliano: +255 76 2 061 694
Ahsanteni sana.
JE WAJUA KAMPUNI YA NEMTEK:
Nemtek imekuwa nguvu ya ubunifu na ya kutegemewa katika tasnia ya uzio wa umeme kwa zaidi ya miaka 30. Inatengeneza anuwai kamili ya vichangamshi na maunzi ya uzio...
NOW NI MFUMO WA KUCHAKATA RATIBA YA VIPINDI AUTOMATICALLY
Huu Ni kwa level zote za elimu
[emoji3591]Chekechea
[emoji3591]Primary school
[emoji3591]O level
[emoji3591]A level
[emoji3591]Vyuo...
Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name).
Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa.
Mfano ni majina ambayo wengi...
Je, umesoma kitabu hiki? Angalia picha ya gamba (cover) lake kitabu hicho.
Na, je, unajua maana ya usonji?
Kwanza tuujue usonji (Kiingereza, autism)
Usonji ni hali ya kuwa na changamoto za...
Habari wana jamii nahitaji supplier wa hii miti ni micharaka inaitwa au mkambara nahitaji PC 8000 location bagamoyo kidomole kila PC ntalipia 3000 namba zangu 0658009530
Naitwa Alfredy Angelo natafuta kazi, nina ujuzi katika fani ya ujenzi. kama kujenga, kupiga plaster, kufitisha madirisha na flemu za milango asante. Napatikana Dar es salaam.
+255676237106
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.