Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.
Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa...
Utangulizi
Soko mahalia ni jumla ya shughuli za kununua na kuuza viwanja, mashamba na majengo ndani ya eneo husika. Soko mahalia la wilaya ya Mbeya mjini hutofautiana na wilaya yoyote iliyo nyanda...
Hii bahati sio ya kuiacha. Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu, nina eneo lina ekari nne(4), nauza kwa eka! Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!
Eneo lipo...
Wanajamii wenzangu wa JamiiForums,
Nimeunganishiwa deal ya kupeleka viatu vya Kimasai Ivory Coast na ndugu yangu wa ki Tanzania anayekaa na kufanya kazi kule.
Ombi langu kwenu, mwenye kujua...
Is email marketing cost drives you crazy?
Tired of paying for a just broadcasting your email to recipients that you dont really know how many they are?
Tired of using third part / promotion...
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming...
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking...
Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na...
Wakuu heshima kwenu.
Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda.
Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni...
Asilimia kubwa ya matatizo ya engine kuzimazima yanasababishwa na components za umeme kama Sensors, Valves, solenoids n.k.
Engine inaweza kuzima muda wowote mfano wakati ipo idle, wakati...
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa...
Habari za wakati huu;
Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.