Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Zipo njema used as new Bei ni laki mbili kwa kila moja No:0658554720
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Hizi App kwa sasa zipo tayari: Tokomeza utoro wa wanafunzi shuleni. 1. Attendance app By one click sms yakawaida inamwendea mzazi. Haihitaji kuwa na computer wala mtandao wa internet...
3 Reactions
0 Replies
429 Views
Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine. Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo. Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza...
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Nature of Business: Ecommerce/Online,Softwares/System/IT Nature of Products: Webhosting Services/CRM and ERP Systems Annual Revenue Potential:5,000,000-25,000,000 What you Get: Training and...
1 Reactions
4 Replies
713 Views
Mwaka 2009 Cc 1990 No turbo No sun ruff Milion 24 Gari haijarudiwa rangi na haina shida yoyote ile…mawasiliano karibuni PM
0 Reactions
5 Replies
567 Views
Habari za majukumu ladies and Few Gentlemen Nauza Hizi Grill ziko 7. Bei ya Hasara, elfu 95 kila moja. Utaweka kwenye milango yako na unaweza kupunguza kulingana na Size ya Mlango wako...
0 Reactions
5 Replies
944 Views
-Ukubwa wa storage usipungue GB50 -RAM isipungue 4 -kioo hata nch 14 kiwe kina rangi nzuri -Iwe na window currently -key board yoyote ilimradi iwe haina shida -Mouse iwe optical -VGA and power...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Nauza gari Isuzu NPR mayai. Gari ipo vizuri, popote inafika. Location Mtwara Mawasiliano: 0718708989
0 Reactions
2 Replies
503 Views
Wakuu habari za kutwa, Niko hapa kumtafuta mtu au kampuni inayosambaza ubao huu bora kabisa kwa kutengenezea makabati na showcase mbalimbali. Kwa wasiofahamu MDF iko vipi ni kama zile marine...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za majukumu ndugu wadau wa JF. Ninafanya biashara ya kuuza samaki aina ya sato. Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Chochote kuhusu ; -Gypsum design -Tv wall / tv cabinet -Panel -Coloring -Wallpaper -Molding Usisite kuwasiliana nasi kwa kilicho bora[emoji1488] Tunapatikana Bugurun sheli tunakufikia popote...
1 Reactions
0 Replies
225 Views
@ FIMBO SANA [emoji112] BAKORA ON SALE (DXN) Price 13.8MLS TOYOTA IST KALI SANA Engine 2NZ Engine 129CC Low mialage 49000 Rim sports Full ac New tyre Clean sana 0783299186 0r 0716095123 EXCHANGE...
0 Reactions
6 Replies
584 Views
Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc New condenser microphone Noise/ echo cancellation YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc Just plug & play OFFER...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP" Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Samahani wadau,nina shida ya mkopo kwa dhamana ya nyumba haijaisha yote lakini na pia nina sales agreement tu ya kiwanja maana hati miliki bado ipo kwenye mchakato..msaada
0 Reactions
4 Replies
450 Views
Kuna picha na video za mlevi mmoja zina trend sana kwenye social networks.. Videos zina mchora jamaa kama mlevi ambae akikosa pombe anaugua. Jamaa mwenyewe ndio huyo hapo pichani Is it for real...
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Habari ndugu zangu Jumamosi tarehe 14.10.2023 nahitaji freezer kampuni ya hisense mpya lita 200 nina laki sita. Natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Habari! Nahitaji gari aina ya: 1. Runx, au 2. Allex, au 3. Spacio Kwa budget tajwa hapo Juu. Namba kuanzia C na kupanda Juu. Tuma picha WhatsApp tu: 0656142433
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari wana jamii Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, maeneo ya Kitunda (Magole) Ukubwa ni Sqm 400 (meter 20 kwa 20) Umbali kutoka barabara kuu ya gari. Ndani ya kiwanja kuna pagala la vyumba...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Back
Top Bottom