Habari za asubuhi.
Ninauza kabati la milango mitatu, material ya MDF kwa sh. 350,000
Pia nauza washing machine kwa sh. 550,000
Dolphin, automatic, 12 kg
Inafua, kukamua, na kukausha kwa 90%
Ina...
Tunauza mashine za kisasa kwa ajili ya kutengenezea chakula chakula cha mifugo kwa mfumo wa chenga chenga (pellets)
● Bei zetu na uwezo wake kwa saa.
100kg/hr=1,700,000/=
150kg/hr=1,800,000/=...
Nguo jumla zipo zenyewe ni
kadet zipo 4
jeans zipo 3
track suit 1
Size ya kiuoni ni 30/31 nguo zote.
Nakuuzia zote na bag nakupa Bure kwa jumla 40,000 tu.
location: Ubungo Kibangu
nitumie...
Jipatie Google Pixel 5 yenye 5G iliyotumika USA (Second Hand)
Warranty 6 Months
Imenyooka sana Grade A imetumika kwa upendo sana
0764081567
Free Charger
Free Cover
Free delivery in Dar...
Habari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili.
Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.
Ahsanteni.
Keygun Gershom
Ipo Kibada KISARAWE ll kigamboni
Ina vyumba vitano vitatu masters
Sitting room dining room jiko stoo
Na public toilet bei milioni 200
Mzungumzo pia yapo ukubwa wa kiwanja SQM 883 ina hati miliki...
Wakuu nauza Laptop yangu Hp Probook.
-kipengele ni betri pekee..kwahiyo ni kama pasi lazima kuwe na umeme ndio iwake. Betri ilikuwa sawa tu ila ndio naitumia hivyo hivyo. Nataka kujazia ninunue...
Pata kiwanja Fukayosi Bagamoyo kwa Cash Tsh 1500 kwa Sqm 1 na mkopo Tsh 2000 kwa Sqm
Muda wa mkopo ni miezi sita
Malipo ya awali 20%
Mfano ukichukua kiwanja chenye sqm 500 ukalipa kwa Cash bei...
Hii inafikirisha Sana, mtu anatoa sadaka Mali Yake kwa Mali kauli, anakupa huduma, unaiona pesa hutumi na bado unamwita tapeli?
Watanzania tunafail Sana. Tubadilike, maisha kwa Sasa yamehamia...
Hello JF,
Nahitaji kuanza mradi wa chipsi na nahitaji frame au eneo la biashara kwa ajili ya kuendesha mradi.
Nihitaji frame au eneo lililopo Dar na lililo changamka kwa ajili ya kuanzisha mradi...
Wakuu naombeni kufahamu bei ya hizi dawa
1.viagra
2.Erecto
3.Sildenafil
4.vimbi la mkongo
5.Mkongo raha
Na ipi nzuri atlist haina madharaaa sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wasalaam,
Kwa wale wanaotaka kuanzisha NGO ama zile zilizokwisha kuanza ipo changamoto moja kubwa ya kupata ufadhili wa miradi.
Hata hivyo kabla ya kuwaza ufadhili, Suala la mifumo linaanza...
Habari Mpendwa!!,
Steam Generation Recovery & Real Estate Ltd Tunapenda kukujulisha kuwa Kwa Sasa tunamradi Mpya wa Viwanja vya makazi Mradi wetu upo Kibaha - Vikawe
𝗩𝗜𝗞𝗔𝗪𝗘 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗠𝗥𝗔𝗗𝗜 𝗪𝗘𝗧𝗨...
[emoji91]Subaru Forester zipo 4 zimeshuka bei
1) Subaru Forester ya 2011 black no EBD non turbo bei 23.8M
2) Subaru Forester no EDL ya 2009, nyeupe bei 23.8M
3) Subaru Forester Chasis number...
Members habari zenu.
Ninapesa za kigeni ila ni "coins" natafuta wa kunibadirishia, nimetembelea mabenki na maburea hapa Dar es salaam hawabadirishi pesa za coins. Anayeweza kunisaidia na...
Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500
Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote
Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo
Nipo Mbezi Stand ya Magufuli
TAYARI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.