Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na...
13 Reactions
23 Replies
17K Views
PRINTING & SUPPLIES: Poster| Brochures| Flyers| Company Profile| Letter Heads| Invoice Books| Petty Cash books| Business cards| ID Cards| Stickers| Packaging branding| Bags Printing| Mugs| Pens|...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
*Tv Showcase *Cofee table Free delivery DSM Condition New 350,000/= 0753715025
2 Reactions
1 Replies
354 Views
Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Pendezesha sebule yako, office yako, restaurant yako chumbani kwako na geto lako kwa wewe bachelor na mpenzi wa samaki wa mapambo kwa aqurium za kisasa zaid kutoka kelvin aqurium store...
1 Reactions
3 Replies
722 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
TUPO TEMEKE MWISHO ,TUNANUNUA MAGARI MABOVU NA CHUMA CHAKAVU BEI NZURI +255753555614
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
2 Reactions
3 Replies
806 Views
Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
4 Reactions
27 Replies
2K Views
NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Uongozi wa st. Marcus pre, primary and secondary school iliyopo iwambi mkoa wa mbeya inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza (msingi) na kidato cha kwanza (sekondari)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ipo mikwambe fundi baisikeli ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room jiko na public toilet bei milioni 80 mzungumzo yapo pia ina vyumba viwili masters...
1 Reactions
9 Replies
978 Views
2012 Subaru Impreza G4 for sale. Automatic Trans. Number plate utachagua ww. Low Mileage. Bodykit kali + Muffler & Air intake mods ndogo. Smart Radio + Push to start. Bei ni 22.5M plus usajili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello, Naitwa khadija TUNATOA HUDUMA za kuandika barua za maofisi, invoice, delivery, excel. Tunajua sio kil Mtu ana komput au ana uwezo Wa kutumia komputa, hivyo kila kitu na tunafanya through...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
- Ist au Premio lenye hali Nzuri. Kwa matumizi ya kwenda kazini na kurudi -Rejesho 850,000 kwa mwezi au kwa week - kwa miezi 18 -mimi ni mwajiriwa Sekta binafsi sina familia - bank statements na...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu Habari natafuta single self maeneo ya kuanzia nanenane njiro kurudi nyuma mpaka fiber au na Zaid kidogo
0 Reactions
4 Replies
853 Views
Okoa gharama kwa kufunga taa hizi za solar. Taa hizi zinamfumo wa kujiwasha zenyewe kila baada ya masaa kadhaa kama utakavyo iseti pia zinakuja na remote control yake ya kuseti Zina sensor...
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Habari Wakuu,kwa wale ambao wanafikiria kujenga au kuanzisha miradi mbalimbali kwenye Jiji la Dodoma wakati ni sasa. Unaweza kujipatia Viwanja kwa Bei nzuri kabisa kwaajili ya Matumizi ima ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom