Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nataka kufaham bei za magari kwa Zanzibar zimekaajee... Kwa mfano Gari kama Harrier New Model bei inacheza kwenye sh ngap..na PRADO..?? Msaada kwenye tuta??
0 Reactions
37 Replies
33K Views
GARI INAUZWA TSH 13,500,000/= TU Car name : Nissan Dualis Year 2007 CC 1990 / 6 GEAR COLOR SILVER NB , Full android TV 10 inches + Subwoofer, Sunroof , 2W + 4wheel Price Tsh 13,500,000/=...
1 Reactions
9 Replies
417 Views
Brand: HP Model: HP EliteBook 840 G1 (SLIM) Charge: 3HRS+ Operating system: window 10 Hard disk: 320GB RAM: 4GB Coi 5 Button zinawaka taa Fingerprint na button ipo gudi etc... Mob & Wasap & Msg...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Tuuze na kununua hapa, sema unataka nini na bajeti yako ikoje pia wewe unayeuza toa taarifa za unachouza kwa ushahidi na useme wewe ni dalali au mmiliki wa unachouzwa. Tuuze kuanzia nafaka...
4 Reactions
18 Replies
347 Views
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji. Kama hali ilivyo kuwa ngumu...
15 Reactions
2K Replies
256K Views
ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Kijana mwenzenu nimeona kukaa nyumbani jau nimeamua kuanza maisha getoni mwendo wa ugali dagaa sasa nambeni mniunge mkono kwenye biashara yangu ya nguo na viatu ntawapostia hapo chini ili nisirudi...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Plot For Sale. Location: Kinondoni Moroco, Uporoto Street. Size: Sqm 3326. Price: 1.2 Million USD. Negotiable. Document: Clean Title Deed. Viewing Fee Apply. Contacts: 0784 829565 0767 833345...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Wakuu naombeni mnichanganulie zaidi kuhusu hii Course kwenye upande wa ajila na pia sector ambazo naweza ku-fit na pia bila kusahau faida zake
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Mi kijana wenu leo nimekuja kivingine. Mungu amekuwa mwema kwangu, na mwaka huu nna azimio la kubadili maisha ya watu kutumia ujuzi wa teknolojia nlo nayo. Kwa sababu zilizo nje...
1 Reactions
1 Replies
162 Views
Eneo linauzwa Makumbusho. Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower. Sifa za Eneo: Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road). Liko barabara ya kuelekea kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
⚡Kuza Brand yako kwa kuprint nasi promotions materials zote kama:- 👉Tshirts 👉Shirt 👉Caps 👉Notebooks 👉Diaries 👉Promotions pen ☎️0687 090 931 📍Congo & Rufiji, Kariakoo 📧Info@assetanzanialtd.co.tz
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Price: 150M Land Rover Range Rover Vogue 🔥 Year : 2015 Cc : 3.0 Diesel TDV6 Colour : Santorini Black Cream Leather Interior 🔥 Mileage 31,000miles 📌Electric Side Steps 📌Winker Mirrors 📌Panoramic...
1 Reactions
4 Replies
255 Views
Mfumo huu ni suluhisho kwa biashara yako ya uwakala. Simamia na fuatilia mwenendo wa biashara yako ya uwakala ukiwa mahali popote, muda wowote. Wakala Agency Banking System...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Wakuu natafuta Control box ya 1Nz toyota auris yeyote mwenye nayo au ane fahamu nitaipata wapi kwa hapa dar
1 Reactions
2 Replies
114 Views
Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
2 Reactions
0 Replies
89 Views
2bhk Apartment For Sale At Upanga, Kilombero Street. Features: 2 Bedrooms Public washroom Living room Dining room Kitchen Parking space Price: 70,000 USD. Negotiable. Property Type is...
0 Reactions
3 Replies
147 Views
Habari za mda huu wadau. Karibu ujipatie original perfume ya chaguo lako. Bei zake ni nzur kabisa call/whatsapp:0659782778, whatsapp only +44 7771896993 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wapenda urembo na utanashati. Nauza perfume za kupima au kuchanganywa, kama Kuna perfume unaipenda na uwezi kuimudu bei basi sisi tunakuuzia kwakukupimia kwa bei rahisi kabisa, kama...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China Pia ulaji wa umeme...
0 Reactions
14 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…