Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Apple MacBook Pro, Retina Display 13inch, 16GB, HDD250GB, Processor core i5, Battery 8800 mAh, 9 hours 4K FaceTime camera, High Sound Quality speakers, Mazungumzo yapo Bei 1.3M Tsh
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Ni mali yangu halali tunaandikishiana hata kituo cha polisi Ukitaka njoo uchukulie nyumbani. Ni nzima haina kasoro yeyote nakupa warranty mwaka mzima. Betri inakaa na chaji kutwa nzima hata...
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining. Nimeezeka vyumba 2 na...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
kama una mahitaji mbali mbali ya tiles za bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu usiwe na wasiwasi kwani HUFAT Group wamekufikia, utapata tiles za kila aina, wall tiles, floor tiles na accessory...
6 Reactions
55 Replies
105K Views
Kama picha inavoonesha hapo Catdrige OG kabisa za HP... ni compatible kwenye HP laserjet pro M402, MFP426 zipo mbili...zote nagawa kwa Laki moja tu....Ni mpya kabisa na Sealed
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
0 Reactions
1 Replies
793 Views
MIlioni 1 ukifanikiwa kumpata mbwa huyuu.....FURSA FURSA FURSA
9 Reactions
91 Replies
4K Views
Uongozi wa shule ya St. Marcus iliyopo Iwambi jijini Mbeya unatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa michepuo ya HGL,HKL na HGK.fomu za kujiunga na shule zinapatikana Shule Iwambi jijini...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Inauzwa na kila kitu ndani Pamoja na Mlango wa Almuniamu Feni panasonic 2 Mashine za rangi 2 Instant heater 1 Salun nzima 5m mazungumzo yapo
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ili mayai ya kuku yaweze kuanguliwa kunahitajika kuwe na mambo matatu muhimu: 1. Joto linalotakiwa kwa ajili ya kuangulia mayai 2. Uvukevuke unaohitajika ili mayai yasipoteze maji...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Tupo kwenye mapambano ya kuhakikisha sisi pamoja na ndugu zetu watanzania tunajiondoa kutoka katika hili dimbwi la umasikini kwa kutumia njia za kawaida sana. Sisi tunatengeneza mashine za...
0 Reactions
38 Replies
23K Views
For your needs and entrepreneurship, we suggest you to consult us to get the best out of what we do! We sell the best incubators ever seen in Tanzania. KARIBUNI SANA. TEMBELEA...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Tunatengeneza vifaa mbalimbali vinavyotumia umeme kama ifuatavyo,pasi,heater,blenda,rice cooker,tv,ving'amuzi,simu,computer,subwoofer,home theater,speaker,amplifier,audio...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu!! Naomba kwa yeyote ambae anaweza kuniuzia viti vya barbershop (used) Au mwenye connection ya wap naweza kupata hvo viti lkn used bas tuwasiliane. Bajeti yangu kidogo imeyumba...
0 Reactions
3 Replies
802 Views
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya...
1 Reactions
154 Replies
16K Views
Habarini za muda huu wadau. Watu wengi wamekuwa wakihangaika kupata msaada hasa wa printer za epson na nyinginezo huku wakikutana na mafundi vishoka ambao mwisho wa siku hujikuta wameharibiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za majukumu wakuu!, Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu, nina uhitaji wa kifaa hicho kiwe ktk ubora ambao bado kinaweza kutumika kuendeshea mashine, kwani nimekutana na changamoto ya umeme pungufu kwenye shughuli yangu. Weka Bei na picha, karibu...
1 Reactions
4 Replies
364 Views
Back
Top Bottom