Wakuu natoa huduma zifuatazo:
1. Natengeneza website za aina zote, blog n.k
2.Natoa huduma za E-comerce, App za kihasibu kama vile quickboks,microsoft 360 na software nyingine za kihasibu au za...
Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini.
Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ninapota kufanyia biashara hakuna umeme hivyo natafuta friji za sola zinazo tumia umeme wa jua kwa aliyo nayo au anaejua zinapo patikana.
Habari,
Kama wewe ni mmiliki wa pharmacy, Hospital au zahanati,supermarket au duka la aina lolote ile bas hii inakufaa, Dunia hivi sasa imebadilika sana tekinolojia inazidi kukua Kila kukicha...
Jambo Jambo?
Wote tunajua kuwa mbali na Ajira huwa tunapiga mishe zingine za pembeni ili kujipatia kipato na kutoa msaada kwa wadau wanaouhitaji.Tupo kundi la watu kadhaa ambao kulinganana kazi...
Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
Kiwanja kipo maeneo ya kinondo mwendokasi kata ya Mabwe pande, Dar es salaam. Kina Sqm 400 kina structure au jengo lenye chumba na sebule na choo, kipo sehemu nzuri sana.
Bei ni Tshs : 8.5m...
Habari, Naitwa MGOLE MWITA CHACHA
Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na kuzaliwa vyenye jina tajwa hapo juu.
CHETI CHA FORM FOUR-MAJANI YA CHAI SEC SCHOOL
CHETI CHA FORM SIX-UWEMBA SEC...
Habari Wadau
Onana nasi kwa huduma zifuatazo:
Kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING):
Calendar, Diaries, Tshirts, Mugs, Stickers, Posters, Books, Forms, Business cards...
Wadau hongereni na majukumu.
Natafuta master bedroom ya hio bei. Location kuanzia Kimara mwisho - Ubungo.
Isiwe mbali na Morogoro road. Angalau umbali uwe dakika 10 tu.
Msaada tafadhali
Fridge Inauzwa:
Fridge hii ni Brand ya INDESIT ambayo inatengenezwa na company ya Hotpoint ya Uingereza.. ina pooza na kugandisha vizuri..
Matumizi yake ya umeme ni Bora yenye level ya A+...
Nyumba Iko Kimara Suka - 1Km kutoka Morogoro road, kushoto ukiwa kama unakwenda Mbezi.
Sifa za nyumba:
Ziko mbili ndani ya fence 1
Vyumba 3 kimoja Master
AC mbili (Sitting room moja na master...
Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo.
1...
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa
Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.