Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wanajamii wenzangu habari zenu, Ndugu yenu naombeni kufahamu mahali zinapatikana soksi za mtumba kwa jumla hapa Dodoma kwa yeyote anayefaha tafadhali naomba msaada wako.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea...
2 Reactions
3 Replies
761 Views
Habari ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 24 Nipo mkoani Dodoma, nilisimamisha masomo yangu nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Nilikuwa nasomea Bachelor Degree of Adult Education and...
1 Reactions
3 Replies
659 Views
It's been long time. Wakuu Kwema? Baada ya miaka 3 ya machozi, jasho na damu (Life after Colleg) kijana wenu nimefanikiwa kusajili mechanical company inayoitwa Masuma Engineering. Masuma...
4 Reactions
8 Replies
678 Views
Tunasuka na kuuza mashine za kuchomea vyuma (welding machine) za aina na uwezo tofauti. Pia tunasuka na kuuza mshine za kuchaji betri ( battery charger) zenye uwezo wa kuchaji hadi battery 16...
1 Reactions
18 Replies
15K Views
Dundani ipo umbali mfupi kabla ya kufika Mkuranga Town ukiwa unatokea Mbagala. Shamba lina ukubwa wa Ekari 6.88 Kama inavyoonekana ktk sketch map hapo chini. Liko umbali wa kilomita 1 kutoka...
0 Reactions
3 Replies
556 Views
Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili. Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
FENI YA UKUTANI INAUZWA MPYA💥 Brand : Tronic Bei : 80,000 Mahali : Dodoma ☎️ : 0654 486 097
0 Reactions
0 Replies
415 Views
PhD and Postdoc Positions for Fall 2023 or Winter 2024. The research project will utilize machine learning and data analytics for modelling methane emissions. Qualifications: Solid educational...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Blackmagic ursa mini 4.6k cinema camera With vmout battery Bei 4.7m fixed OR EXCHANGE PLUS TOP UP ALLOWED 0716917896
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Karibuni wafugaji wote. Tunauza mashine za kutotoleshea vifaranga za ukubwa mbalimbali Kwa mawasiliano ni 0753903809, au 0655903809 au expecamdu@gmail.com au tembelea facebook page yetu ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Bwana Yesu Kristo asifiwe, .... Asalaam aleykum...... Habari zenu wana jamii forums nauza kiwanja changu binafsi kipo mbezi ya kimara -Makabe zoezi la upimaji tayari ila hati bado hazijaja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiwanja kipo 2Kms kutoka KIBADA kuingia barabara ya mtaani Tayari kumejengeka na nyumba za kifahari Eneo: 972 Sqm (Pameshapimwa na mawe tayari yameshawekwa) Nyaraka: Mauziano ya Serikali ya...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wasalam, wapendwa wateja! Karibuni mjipatie Laptop used zenye ubora mkubwa za aina mbalimbali kwa bei nafuu. Duka letu lipo Arusha Mjini 👇👇👇 Brand: DELL 3150 Processor: INTEL DUAL CORE RAM: 4GB...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa .Sifa za mashimo yetu .Hayajai .Hayatoi harufu kabisa .Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara . Huondoa gharama za kunyonya maji taka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpango wa Biashara (Business Plan), ni nyenzo muhimu katika mafanikio ya biashara. Mpango wa Biashara humsaidia mjasiriamali ku-shape wazo lake la biashara na kulifanya kuwa fursa (Opportunity)...
7 Reactions
89 Replies
64K Views
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA BEI YA KUTUPWA. INA HATI MILIKI. IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU. BEI NI MILION 160 TU 0744993715 SIFA YA NYUMBA. Vyumba vinne vya kulala kimojawapo ni Master kubwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo...
1 Reactions
7 Replies
691 Views
NIKON D3000 CAMERA MPYA 🟡UNAPATA LENZ 18-55mm 🟡CHAJI NA BETRI 🟡MEMORY CARD 32GB 🟡UNAPATA NA BEGI BEI TZS: 380,000/= TU PIGA: 0752886244 HII OFA SIO YA KUKOSA KABISA[emoji3060][emoji3060]
0 Reactions
3 Replies
347 Views
Back
Top Bottom