Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
HIGHPOWER - STOP THAT LEAK FOAM Tumia High Power Stop That Leak Foam kwa mizunguko ya maji inayovuja! Povu lenye kuziba haraka na kwa ufanisi mianya yote. Thibitisho la kudumu, hata kwenye nyuso...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Habarini wana JF me ni mtaalamu sana kwenye kutengenezea Bussiness card ninauzoefu wa miaka 5 kwenye kutengenezea Bussiness card natengeneza Bussiness card Kwa elfu kumi
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Sharose Enterprise inawakaribisha wajasiriamali na wafanyabiashara wote wenye nia na huitaji wa usajili wa biashara zao. Sharose tunatoa usaidizi wa usajili wa Kampuni na Majina ya biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Kwa huduma tajwa hapo juu. Usisite kuuliza ni bure pia kupatiwa huduma at an affordable price kupitia namba ya simu +255755194070; barua pepe: mon.eycafeconsultancy@gmail.com Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza. Asanteni.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo...
4 Reactions
42 Replies
9K Views
JE,UNAHITAJI MASHINE YA KUTOLEA RISITI ZA KI ELECTRONIKI (EFD)? Tumia mfumo wa VFD, ni mfumo wa kidigitali ulio idhinishwa moja kwa moja na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kumuwezesha...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Pitia uzi huu kila siku utakutana na magari mbali mbali yaliyopo sokoni Pia kama hujaona, nipigie au nichek WhatsApp kwa aina yoyote ya gari unalohitaji, ninayo mengi, mengine hayapo hapa Pia...
1 Reactions
103 Replies
8K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website yangu ambayo ninaiuza kutokana kwa sasa ninakosa muda wa kuitumia. Hii website kwa...
1 Reactions
0 Replies
863 Views
1. CONTACT: BH REAL ESTATES, 0713 276655, 0767 276655 Plot Location: Mbezi Beach near Mwanamboka Size: 900 square meterswith title deed, 3 bedroom house, needs renovation. Price: TShs...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Nimali yangu halali tunaandikishiana hata kituo cha polisi Ukitaka njoo uchukulie nyumbani. Ni nzima haina kasoro yeyote nakupa warranty mwaka mzima. Betri inakaa na chaji kutwa nzima hata...
0 Reactions
14 Replies
690 Views
Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wadau !! Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni shamba lenye migomba ilioboreshwa vizuri lenye ndizi aina ya mzuzu, bukoba, malindi Nk. Linauzwa milion 27 Tutafute kwa namba 0756416149
0 Reactions
2 Replies
877 Views
HUGO BOSS mnyama Og Namba: 42 Bei:Tshs 55,000/= Location:Karume,Ilala 0689150968 Nb:Kwetu unavaa Bland kwa bei
2 Reactions
15 Replies
836 Views
VIFAA VYA STATIONARY Jipatie bidhaa za stationary kwa bei nafuu zaidi kwa bei ya jumla tupo kariakoo mtaa wa lindi karibu na msikiti wa lindi pia tunafunga ODA kwa watu wa mikoani kwa uaminifu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni Mfanya biashara ya stationary kutoka morogoro naomba kufahamishwa chaka/chimbo la kupata bidhaa kwa bei za viwandani kwa Dar.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
IMEUZWA
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Mfumo umefungwa kwa sasa Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel Nunua Bidhaa kupitia...
2 Reactions
8 Replies
665 Views
Nauza simu yangu, bei 620k. 0675393554
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom