Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
Simu kali sana used kutoka dubai zinauzwa bei ya kutupa. Kuanzia 250,000 unajipatia samsung S7 samsung S8 kwa 290,000 Samsung S9 kwa 320,000 Samsung S9+ kwa 380,000 Samsung S10 kwa 400,000...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali: Mnada utafunguliwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
1 Reactions
3 Replies
693 Views
Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona leo tukiwa na afya njema... Tunamshukuru Mungu. . MZIGO MPYA HUO, mali MPYA, ni ROZARI za SILVER ORIGINAL ZA ITALY ZIKIWA KWENYE UZITO NA UKUBWA TOFAUTI...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Tunauza Miche ya matunda Aina ya miche ya matunda inayopatikana Kilimo Tz: 1. Miembe aina za embe ambazo tunazo a. Tommy b. Indian Red c. Apple Mango d. Dodo e. Bolibo f. Alphonso g. Maya 2...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wana JF, Niagize kioo cha simu yako ya Samsung nikuletee hapa Tanzania na mkoa wowote kinakufikia kwa bei nzuri na utaifurahia, ndani ya wiki 3 utakuwa umeshapata kioo chako.. Nicheki...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Nahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu. Na je ni vitu gani vya...
2 Reactions
33 Replies
15K Views
Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla. Faida za kuwa na social media + marketing manager 1. Nasimamia...
2 Reactions
7 Replies
903 Views
Habari ndugu zangu, Nilinunua mashine zangu mbili za kukamua juice ili nibangaize miamoja au miambili nione kama nitaongeza kipato. Mashine zipo Dar, niliwakabidhi vijana walikuwa wanaziweka...
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Habari wandugu Kama title inavyojieleza, nimeona ni vyema kuanzisha Uzi huu ili iwe rahisi kwa wadau (wauzaji na wanunuzi wa nafaka mbali mbali) kukutana na kufikiana. Taja aina ya nafaka...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
" Owning residential real estate is not a great investment. Over the past 20 years, home prices have risen less than the consumer price index and have returned less than treasury bills." Hayo...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Nauza hii Camera 📷 kwa bei tajwa hapo juu. Ipo pamoja na cover, memory card (8GB) na adapter yake. Niliinunua Thailand baada ya simu yangu kupotea wakati nikiwa nahitaji picha muhimu za matukio...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
King'amuzi (kisimbuzi) cha dstv kinauzwa, kimetumika miezi mitano tu, mwenyewe anahama. Ukikinunua utapata na Vitu vifuatavyo; 1. Dekoda yenyewe. 2. HDMI Wire. 3. AV Wire. 4. Wire mrefu wa TV. 5...
1 Reactions
8 Replies
650 Views
Ipad air model a1567 IOS 13 Tatzo ni kioo kimepasuka 0757560345 Kila kitu fresh bado mpya Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
513 Views
Naiuza hii nissan yangu haina shida yoyote ila imepaki muda mrefu sababu nipo mkoani kwa muda sasa, hapo inawaka na kutembea bila shaka 2 M tu naitupa. 0787037744.
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna ENEO zuri lenye pagali mjini MAKAMBAKO location magegele sokoni ukubwa wa ENEO hatua 30 upana Kwa hatua 30 urefu bei mil 6 0620373782 karibuni
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na...
0 Reactions
4 Replies
548 Views
Back
Top Bottom